Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni ya chini umepatia sanaNilitaka kufuta hiyo ya juu.
Jibu ni la Chini.
Kwenye paper hapo ni chafu balaa
Kama ni ya chini umepatia sana
Ok Hili Ndio JibuToa jibu
062Wote wanaoandika 602 hawako kabisa hata kwenye uhalisia 🤣🤣
Aweee sio kweliKosa kubwa 🤣🤣
102Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi..
Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
View attachment 2953838
Lakini hints zenyewe hazioneshi mutual exclusivity (logically). Maana yake ni kwamba namba mbili ama hata tatu zinaweza kuwepo pamoja bila kuathiriana. Hivyo, majibu ya swali/chemsha bongo yanaweza kuwa zaidi ya moja.Umekosa mkuu!
Rejea Hint namba moja.. "Kwahiyo 6 na 2 haziwezi kuwa Pamoja"
Na kwa hint namba tatu 0,6 na 2 haziwezi kuwa pamoja ni Eidha namba mbili kati ya hizo na sio Zote..
Zinaweza kuwa pamoja kwa sababu swali halijazingatia kanuni ya "mutual exclusivity" ili kuamua matokeo (outcomes).062 hapana❌️
Kwa hint ya kwanza 6 na 2, Haiwezi kuwa pamoja..
760Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi..
Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
View attachment 2953838
Haipingani na hint namba 1 kwa sababu hint namba 1 inazungumzia namba moja pekee kati ya 3 ambazo sio mutually exclusive. Namba zote tatu haziathiriani.Kama ni 062 itapingana na hints number one
How
Nop Limezungatia soma vizuri hint..Zinaweza kuwa pamoja kwa sababu swali halijazingatia kanuni ya "mutual exclusivity" ili kuamua matokeo (outcomes).
Soma comment no 84Haipingani na hint namba 1 kwa sababu hint namba 1 inazungumzia namba moja pekee kati ya 3 ambazo sio mutually exclusive. Namba zote tatu haziathiriani.
Soma comment no 84Haipingani na hint namba 1 kwa sababu hint namba 1 inazungumzia namba moja pekee kati ya 3 ambazo sio mutually exclusive. Namba zote tatu haziathiriani.
Soma tena Vizuri hint hizoLakini hints zenyewe hazioneshi mutual exclusivity (logically). Maana yake ni kwamba namba mbili ama hata tatu zinaweza kuwepo pamoja bila kuathiriana. Hivyo, majibu ya swali/chemsha bongo yanaweza kuwa zaidi ya moja.