The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,441
Mbona Jaji Warioba au Butiku hawaogopi uzee? ukiishi vibaya na watu lazima yakukute haya? huyu na Jaji Warioba nani mzee kuliko mwenzake? huyu anapata anachostahili kwa matendo ake maovu aliyofanya akiwa madarakani.Ndiyo maana tunaogopa uzee
kionekana mwenye nguvu ?????!! π³Akionekana bado mwenye nguvu, Mzee Mahita amejitokeza kumuaga OCD wa Chanika aliyefariki kwa ajali ya gari huko Gongo la Mboto D'Salaam.
Huyu hapa
View attachment 3275251
Mwenye nguvu huku ana magongo?Akionekana bado mwenye nguvu, Mzee Mahita amejitokeza kumuaga OCD wa Chanika aliyefariki kwa ajali ya gari huko Gongo la Mboto D'Salaam.
Huyu hapa
View attachment 3275251
Duh π !Mbona Jaji Warioba au Butiku hawaogopi uzee? ukiishi vibaya na watu lazima yakukute haya? huyu na Jaji Warioba nani mzee kuliko mwenzake? huyu anapata anachostahili kwa matendo ake maovu aliyofanya akiwa madarakani.
YesDuh π !
You mean KARMA ????!
π³π !Mbona Jaji Warioba au Butiku hawaogopi uzee? ukiishi vibaya na watu lazima yakukute haya? huyu na Jaji Warioba nani mzee kuliko mwenzake? huyu anapata anachostahili kwa matendo ake maovu aliyofanya akiwa madarakani.
Hatar sana !
Anavuna ukatili wakeMbna haonekani ana nguvu km vile usemavyo? Mzee wa ngunguri huyo, na upara wake.
Wakati ni Ukuta, Lol πππππ
Yupo hoi kwa sababu ya maovu akeKwahiyo hapo ndio anaonekana bado mwenye nguvu???