Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Samahani naomba neno halisi la kudangaHizi tafsida za kisasa huhalalisha uovu mwingi sana kuonekana ni wema.
1. Hivi mkeo/mumeo akikuaga kuwa anaenda kucheza kamari utamchukuliaje! Ila akikuambia anaenda kubet utaona ni kawaida tu.
2. Mtu wako wa karibu kabisa utamsikia anasema siku hizi hakuna ndoa bora nidange tu, vipi akitumia neno asili ya hilo utamuonaje
3. Mwanaume/mwanamke mwenye kuenzi mambo ya laana zile za enzi za nabii Lutwi, siku hizi ndio yaonekana kawaida tu tena kwa majina mbali mbali
NB:KUCHEPUKA /KUDANGA HUU NI UMALAYA AMBAO HAUNA TOFAUTI NA UMALAYA MWINGINE WOWOTE
Dunia isitubadilishe ila sisi tuibadilishe.
Iwe ndio agenda namba moja.Hili la jando lipitishwe haraka kwenye mkutano wetu
Wana id mpya.Hivi ni kwanini unaadimika sana?
Hata @lara1 sijui vipi?
miss chagga haonekani
Mamndenyi Valentina, PakaJimmy etal malejendari Fulani ya jeiefu mnapoteeea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msifanye hivyo mamaa
Sisi tuna adabu na heshima zote halafu wanalalamika kweli[emoji1745][emoji1745][emoji1745]Asipate tabu yeye akamuhoji tu vizuri mama, shangazi au bibi zake sie tunafanya marudio tu tena kwa huruma sana
Usopooa unaolewa, ndio iko hivyo.Kwani asipooa ni lazima aolewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki nimecheka.Asipate tabu yeye akamuhoji tu vizuri mama, shangazi au bibi zake sie tunafanya marudio tu tena kwa huruma sana
Hahaha pole sana..... Uje chumba cha ushauriMimi siku zote nimekuwa nikikamatwa hasa kwenye simu sikui kwanini
Manga nakuona umepanic, punguza nguo ubaki na boxa na vest upigwe upepo kidogo afu urudi hapa kwenye kikao cha mafisi majikeMigume gume ndo inaona si udhalili mwanamke kuuu to...mbesha anaitwa MALAYA TU hata ukilazimisha iwe sawa na me uasili utabaki tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa, ngoja tukiitisha mkutano mwingine tutawafikiria.
Wana id mpya.
Aaaah!! Mimi unanisingizia mangi[emoji23]
Ndio hii hii nimeirudia.Aisee, mfano, wewe ID yako ya zamani ni ipi?
Nafikiri na majukumu yanatuweka busy kiasi
Walaaa hatuwanyanyasi jamani, tunawapenda sana.Na ninyi mnajua kutunyanyasaa
Ndio hii hii nimeirudia.
Walaaa hatuwanyanyasi jamani, tunawapenda sana.