Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Hizi tafsida za kisasa huhalalisha uovu mwingi sana kuonekana ni wema.
1. Hivi mkeo/mumeo akikuaga kuwa anaenda kucheza kamari utamchukuliaje! Ila akikuambia anaenda kubet utaona ni kawaida tu.
2. Mtu wako wa karibu kabisa utamsikia anasema siku hizi hakuna ndoa bora nidange tu, vipi akitumia neno asili ya hilo utamuonaje
3. Mwanaume/mwanamke mwenye kuenzi mambo ya laana zile za enzi za nabii Lutwi, siku hizi ndio yaonekana kawaida tu tena kwa majina mbali mbali
NB:KUCHEPUKA /KUDANGA HUU NI UMALAYA AMBAO HAUNA TOFAUTI NA UMALAYA MWINGINE WOWOTE
Dunia isitubadilishe ila sisi tuibadilishe.
Samahani naomba neno halisi la kudanga
 
Asipate tabu yeye akamuhoji tu vizuri mama, shangazi au bibi zake sie tunafanya marudio tu tena kwa huruma sana
Sisi tuna adabu na heshima zote halafu wanalalamika kweli[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Back
Top Bottom