TrueKuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueKuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Huu uchoyo haufai kabisa, wawe wapole tujenge nchi.Si ndio hapa dada, watu wana roho za kichoyo hata shetani sio mchoyo hivyo
Mzee wa matakko makubwaWazee wa kuchepuka! View attachment 1137240
Huku tukizingatia maendeleo hayana chamaHuu uchoyo haufai kabisa, wawe wapole tujenge nchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hasira za nini mangi? Kizuri kula na nduguzo.
Na mchepuko akikuvuruga ukirudi nyumbani mume awe mfariji jamani wasiongeze chumvi kwenye kidonda.Huku tukizingatia maendeleo hayana chama
Dada hayo uliyonene ni kweli kabisaaaa! Ndio maana mie SITAKI KABISA HABARI ZA KUCHEPUKAGood morning.....
Angalizo: soma bila jazba inaweza kukukera, ukimaliza mcheki mkeo msonye kupunguza hasira.
Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanasema mapenzi kwa mwanaume ni moja kati ya vitu, ila kwa mwanamke mapenzi ni kila kitu, yani kwa mwanamke mapenzi ni maisha. Ndio maana mwanamke unaweza kumkera basi asikupikie, asifanye chochote yani hapo kila kitu kipo connected na hayo mapenzi tofauti na mwanaume. Mwanaume unaweza kuwa na wanawake kadhaa na wanajuana na maisha yanaendelea ila kitendo cha kujua mwanamke wako kuna mtu anasimamia kucha ni pigo sana na usipokua imara unaweza rudi kwa muumba kizembe kizembe.
Bwana kujua mali zako zinaliwa inauma, iwe analiwa mwanaume au analiwa mwanamke inauma, japo wanaume mnajitoaga tu ufahamu mnajikuta mliumbwa na kibali cha kupiga yani nyie mpige tu mkipigiwa inakupa tabu. Cha ajabu ukute umeoa kabisa unajua uchungu wa mke na unaenda kupiga wake za wenzio tena unawapenda ndio mambo yako yani ila eti wako hautaki aguswe hihihihi nacheka kisukuma brother hebu kuwa serious kidogo!!!
Mwanaume anachepuka kwa tamaa tu yani kifupi hana madhara kiiivo tukiachana na wivu wivu tu hana madhara makubwa, labda kuchunwa chunwa tu na vitu vya hapa na pale, ila sasa tukija kwetu viumbe wa kike watu ambao mioyo yetu inashape ya kopa, kopa ndio na mioyo wanaume ina shape ya korosho (tusibishane katika hili 😁) mwanamke kuchepuka ni hatari kuchepuka sio tu tamaa kuchepuka ni mapenzi tena mapenzi mazito, mahaba ya dhati kabisa, we don't offer mabao tu bali tunajitoa sana hadi hisia tunaweka rehani, yani kuchepuka ni kufall in love kabisa unampa mtu moyo na hisia (micheps msizingue jamani mtatuua) na hapa ndiyo hatari ilipo mwanamke usipohusisha akili nyumba itasambaratika, utaanza kama masihara tu mara unajikuta mme unamuona kama zombie huko kwenye ateri na aota kajaa mchepuko, mchepuke kwa makini na kwa akili jamani
Evelyn Salt (fisi jike)
Fisi maji mwenyeweSina hasira mkuu, yeye mwenyewe anajiita fisi maji, ila na Mimi ninasema kweli Evelyn Salt ni fisi maji
Mimi na wewe tunaendana sana, mwenyewe kuchepuka thing kumenipita kushoto kwakweliDada hayo uliyonene ni kweli kabisaaaa! Ndio maana mie SITAKI KABISA HABARI ZA KUCHEPUKA
Bora kuvurugwa nyumbani sio na mchepuko jamani, mchepuko akikuvuruga unahisi umevurugwa na dunia nzima mi ndo maana huwa nawasisitiza micheps msizingue mtatuua sweethearts tehNa mchepuko akikuvuruga ukirudi nyumbani mume awe mfariji jamani wasiongeze chumvi kwenye kidonda.
Yaani acha kabisa, emagine yule anaekupa faraja mume akivuruga ndio anakuvuruga. Utahisi kufa kufa.Bora kuvurugwa nyumbani sio na mchepuko jamani, mchepuko akikuvuruga unahisi umevurugwa na dunia nzima mi ndo maana huwa nawasisitiza micheps msizingue mtatuua sweethearts teh
Nawaona #TeamRohoMbaya#. Watu wanazidi kughairi kuoa hahahahaBora kuvurugwa nyumbani sio na mchepuko jamani, mchepuko akikuvuruga unahisi umevurugwa na dunia nzima mi ndo maana huwa nawasisitiza micheps msizingue mtatuua sweethearts teh
Yaani acha kabisa, emagine yule anaekupa faraja mume akivuruga ndio anakuvuruga. Utahisi kufa kufa.
Hebu wasitunyime ubwabwa na salad kizembe hivoNawaona #TeamRohoMbaya#. Watu wanazidi kughairi kuoa hahahaha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Evelyn Salt (fisi jike)
[emoji23][emoji23][emoji23]Nawaona #TeamRohoMbaya#. Watu wanazidi kughairi kuoa hahahaha
Hahaha "wawowe" tu sisi tuserebukeHebu wasitunyime ubwabwa na salad kizembe hivo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasiwacheleweshe watoto kuanza shule kwa ujinga wao.
Tena wasikusahau mcheza kwaito wa kimataifa.[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha "wawowe" tu sisi tuserebuke
Maaaamae wapaka mekup na magladuet ni wa kuchapa tu siweki ndani.Bora kuvurugwa nyumbani sio na mchepuko jamani, mchepuko akikuvuruga unahisi umevurugwa na dunia nzima mi ndo maana huwa nawasisitiza micheps msizingue mtatuua sweethearts teh
Hiviii kwa nini msiombe kuachwa kuliko kijidhalilisha?Yaani acha kabisa, emagine yule anaekupa faraja mume akivuruga ndio anakuvuruga. Utahisi kufa kufa.
Kwani huwa mkichepuka mnajidhalilisha?Hiviii kwa nini msiombe kuachwa kuliko kijidhalilisha?