Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Hapo nimekusoma mkuu, swali la niongeza, hivi nikisema kuoa/kuolewa ni kubahatisha (kubet) nitakua nakosea?
Hapo kukosea au kupatia hakuna jibu la moja kwa moja, inategemea nawe kwenye maisha yako unahitaji mwenza wa dizaini gani...
Unaweza kumuoa slay kwini muda wote Kakaa kwenye tamthilia, kabandika kucha, hapiki mnakula hotel wewe ukaona hakuna shida umepatia, sisi wapenzi watazamaji tukakuona umeingia chaka. So it depends
 
Hapo nimekusoma mkuu, swali la niongeza, hivi nikisema kuoa/kuolewa ni kubahatisha (kubet) nitakua nakosea?
Ndoa sio kubet, ndoa sio bahati nasibu......
Ndoa ni kupanga na kuchagua, ndio maana kuna uchumba muda wa kumchunguza mwenzio ukiridhia sawa usiporidhia unaachana nae, tusichokijua tu ni kwamba sisi ni binadamu tuna mapungufu, wenzi wetu pia vile vile wana mapungufu, tuvilimiane....
Ila pia mnavokaa katika ndoa kuna tofauti na kabla hebu utakuja kwenye semina ya ndoa baadae.
 
Kwa haya madini natamani niendelee kukuuliza maswali, kama utaniruhusu niendelee nitafurahi sana aiseh
 
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Huyo alokwambia hivyo yupo sawa mimi nishawahi kumla demu wa bro wangu. Lakini kabla sijamla nilimcheki bro kwanza kama poa kumgegeda demu wake, na akasema fresh tu. Lakini huyu alikuwa demu wa club tu sio kama ndio mwanamke wake, halafu na mimi nilipata demu. Kumaliza kumgegeda bro alikuja kwangu akamuona yule manzi akaniuliza kama anaweza kumgegeda?. Nikamwambia poa tu na kumuuliza demu kwanza alikataa mwisho alikubali na bro aka mgegeda kiroho safi. Pia kuna manzi mmoja huyo wasela humgegeda bila mwenyewe kujua baadae huanza kuhadithiana. Kwasasa tumemwacha mpweke anatafuta mume hajapata bado, pia kuna kipindi nilikuwa na miaka 17 mimi na macphail wangu. Tuliwekeana mkataba wa kugegedeana wanawake zetu, kilichotokea sihadisii.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Huyo alokwambia hivyo yupo sawa mimi nishawahi kumla demu wa bro wangu. Lakini kabla sijamla nilimcheki bro kwanza kama poa kumgegeda demu wake, na akasema fresh tu. Lakini huyu alikuwa demu wa club tu sio kama ndio mwanamke wake, halafu na mimi nilipata demu. Kumaliza kumgegeda bro alikuja kwangu akamuona yule manzi akaniuliza kama anaweza kumgegeda?. Nikamwambia poa tu na kumuuliza demu kwanza alikataa mwisho alikubali na bro aka mgegeda kiroho safi. Pia kuna manzi mmoja huyo wasela humgegeda bila mwenyewe kujua baadae huanza kuhadithiana. Kwasasa tumemwacha mpweke anatafuta mume hajapata bado

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sasa wewe umeshasema huyo ni demu tu na hamna kati yenu aliyekuwa anampenda hata sisi mbona tunaweza kushea bwana ambaye hatumpendi na tukawa tunajuana kabisa na hatuna shida sasa hapa tunaongelea kushea mwanamke ambaye wote mnampenda mnaweza?
 
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Wanaume sisi tunapokua wakali ni kwa mke, au mpenzi wa kujenga naye familia yaani ndoa. Lakini manzi ambaye hauna mpango naye huwa hatuna tabu kabisa.
 
Sasa wewe umeshasema huyo ni demu tu na hamna kati yenu aliyekuwa anampenda hata sisi mbona tunaweza kushea bwana ambaye hatumpendi na tukawa tunajuana kabisa na hatuna shida sasa hapa tunaongelea kushea mwanamke ambaye wote mnampenda mnaweza?
Huyo wa mwisho ambae anatafuta mume kwa sasa nilikuwa nimtolee posa, na nilijua kama kicheche nikihairi dakika za mwisho. Na kila alie mgegeda alikuwa akidhania mwanamke wake, tatizo tulipokuja kujua kama ana play game na sisi ndio tukaanza kumplay yeye.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Huyo wa mwisho ambae anatafuta mume kwa sasa nilikuwa nimtolee posa, na nilijua kama kicheche nikihairi dakika za mwisho. Na kila alie mgegeda alikuwa akidhania mwanamke wake, tatizo tulipokuja kujua kama ana play game na sisi ndio tukaanza kumplay yeye.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
You are right!
 
Na k ukanyimwa anatunziwa bwana mkunaji hahahaha (mbinguni tutapasikia tu)

Duh, hatari kweli hao ndio wanawake na kwa wanaume ni tofauti kabisa, yeye akitoka kwa mchepuko akirudi nyumbani mke akaomba dushe anapewa kama kawaida
 
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Nasema nikweli hasa tukishajua kama huyo mwanamke ni malaya . Basi automatically tunaenda nae kimalaya.
 
Back
Top Bottom