Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi


Uliwahi kufika Zenj au unaota ??

Nyinyi maneno mengi tu mkisikia kuna kuweka usafi wa mazingira unaofanywa na vikosi vya siro na genge lake nyote mnajifungia vyooni
 
Uliwahi kufika Zenj au unaota ??

Nyinyi maneno mengi tu mkisikia kuna kuweka usafi wa mazingira unaofanywa na vikosi vya siro na genge lake nyote mnajifungia vyooni

Sisi hao? Yumkini waongelea wengine.
 
Tutapigwa na kitu kizito sana... labda kama hao wajumbe watapatikana kwa taratibu huru na za wazi na si teuzi za kificho!!

Utaratibu mzima umejengwa ili tupigwe kwa vitu vizuri kama hatukomai.

Haya si ajali bali ndiyo ulio mpango mzima.
 
Hawa ndo waunde tume then tuseme ni tume huru???

Time itakuwa huru kama itahusisha wajumbe kutoka kila chama na taasisi zingine kama time ya haki za binadamu,uwakilishi wa taasisi za dini, lakini kuwachukua akina Job Ndugai eti ndo wanaunda tumw huru hapanaaaa!
 

Zinaleta faraja kubwa sauti za watumishi kama hawa:

Kesi ya Mbowe: Mzee wa Upako anena Mazito

Sauti kama hizo kutokea kwa watumishi wengine zaidi, zitahitimisha harakati hizi za haki kwa amani.
 
218-(1)(g): Mwenyekiti wa CHADEMA taifa

Bila kipengele hicho kuwepo CHADEMA hawaamini kama bado hiyo tume ni huru

Umeyasikia hayo kutokea Chadema au ni kuota ndoto tu?

Au huu ndiyo mwendelezo wa uthibitisho kuwa CCM hamtaridhia tume huru wala katiba mpya kwa amani?

Kwamba tusipokomaa uteuzi aliokuwa akiufanya mwenyekiti wenu mtataka kutuhadaa mabadiliko kwa kutuaminisha tuwaamini tu wajumbe wenu wakereketwa?

Wala isiwe taabu pelekeni mrejesho:

"sisi kama wananchi, hatutakubali."
 
huyo namba 3 atavuruga kila kitu
 
Tume huru iliyojaa watumishi wa serikali . inatakiwa iwe na wajumbe wasio fungamana na upande woowote
Hapa kenye tume huru. tatizo sio watu wa chama fulani au aina gani ya watu, laaa
tatizo ni mfumo wa tume yenyewe na sheria na kanuni zake zinazo tumika.
.Ikiwa tume itakuwa na uwazi katika kutowa maamuzi ,hilo la kwanza.
.Ikiwa tume itawez kushitakiwa kwa matokeo kulalamikiwa mahakamani, hilo la pili.
.Ikiwa matokeo hayoto tangaazwa mpaka waridhie wadau wote waliohusika kwenye uchaguzi na kutia saini zao, hilo la tatu.
.Pasiwepo na mwenye kuweza kufuta matokeo ila Mahakama baada ya kutokea mzozo.
na yanayofanana na hayo
 
Naamini kwa kuzingatia hili unaamini unamaanisha safari ya kufikia tume huru ya uchaguzi bado safari ni mbichi
 

Ila mkuu pamoja na yote, majina nayo yasiwe na ka ukakasi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Yaani Rasimu ya Warioba ndiyo imependekeza hivyo au ..... Mbona hapo hakutakuwa na tofauti na ilivyo sasa.... wote hao ni Wateule wa Rais isipokuwa Maspika .... Hawa CCM wanataka kuwahadaa Watanzania!!
 
Achana na hawa wadogo huku vituoni

Tunasemea Wakuu wa hiyo tume wanatoka wapi?

Wanachaguliwa na wanaCCM..

Acheni sanaa
Viongozi wote wa juu wanatakiwa waombe baada ya nafasi zao kutangazwa, mtindo wa kuteuliwa haupo japo watanzania kwa ujinga wanaupenda.
 
Adui wa ccm ni vitu viwili katiba mpya na uraia pacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…