Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi

Yaani Rasimu ya Warioba ndiyo imependekeza hivyo au ..... Mbona hapo hakutakuwa na tofauti na ilivyo sasa.... wote hao ni Wateule wa Rais isipokuwa Maspika .... Hawa CCM wanataka kuwahadaa Watanzania!!
Tunaanzaje na tume kabla ya katiba?
 
Haa hucho kipengele cha kusain ndo kituko mpinzA kwa Africa ni shida hawajawahi kushindwa ila kuibiwa kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanzu mpya sheikh yuleyule
 
Mkuu

Hata sio Watanzania,ni hawa CCM wanatulazimishia upumbavu wao wa "teuzi"

Round hii patachimbika aisee....hatukubali huu upumbavu
Maoni mengi bado yamejikita kwenye kuteua, watu wanapendekeza majina ya wanaofaa kuteuliwa! Hawa ni watumwa wasiopenda kuachiwa huru.
 
Sema tume ya kuichagua CCM, maana hapo naona mwendo ni uleule wa kijani
 
Viongozi wote wa juu wanatakiwa waombe baada ya nafasi zao kutangazwa, mtindo wa kuteuliwa haupo japo watanzania kwa ujinga wanaupenda.

Kulitumia neno "watanzania" hivi ni kuwakosea sana wengi wasiokuwamo.
 
Kumpata Mkiti wa tume huru ya uchaguzi, kigezo cha umri kisiwepo kabisa ila apatikane mtu anayeaminika na jamii mfano Mzee Butiku, Assad, Warioba, Jaji Samata, Lwaitama, Jenerali Ulimwengu na wengine wa aina hiyo...
 
Kumpata Mkiti wa tume huru ya uchaguzi, kigezo cha umri kisiwepo kabisa ila apatikane mtu anayeaminika na jamii mfano Mzee Butiku, Assad, Warioba, Jaji Samata, Lwaitama, Jenerali Ulimwengu na wengine wa aina hiyo...

Kigezo cha umri ni usanii wa kiwango chake:



Kuruhusu longo longo zozote ku undermine the only requirement ya minimum age 18 kwa mtu mzima ni kuukaribisha huu usanii.
 
Yanachosha bana

Hua sometimes nanyamazaga,kimyaaaa!

Maana ukiyaongelea sense ndio hua hayaelewi,ila yanaelewaga ukiyaongelea ujinga!

Ila hii Katiba lazima tumkate mtu kiuno,wallah nakwambia!
[emoji23][emoji119][emoji119][emoji23][emoji119][emoji119]
Nikajua huwa huchoki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa bwana[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Tume huru ni mtoto wa katiba.....
Katiba kwanza kisha tume huru
 
Maccm yatapola Kama yalivyopola Rasim ya Jaji Warioba,
Hakuna kitu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…