Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

Ni kweli hajafanana nae, ila sio kigezo kuwa sio mtoto wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
KlIla kuna DNA wenye hela wanaenda Kenya au South Africa hamna longolongo.

Ila hapa TZ process ngumu sana na ndio maana tunaishia kujipa moyo tu "kitanda hakizai haram", ila kama process ingekuwa nyepesi dada zangu wengi wange umbuka.
 
Nenga alimpitia Mobbeto? Kweli nimestaafu umbea ndio najua leo [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ruge-->Nandy ----Jizzo-->Betto --->Nandy-->Nenga --->Betto-Nenga.

Ni Kazeze Ni Kazeze Ni Kazeze ilikuwa ni saa kumi kasorobo sheikh mbwana yupo msikitini na baadhi ya waamini akihadhini allahu akbar allahu akbar akiwa anamaanisha Mungu mkubwa Mungu Mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…