luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Hii kitu hata sielewi, mtu ashakuwa na hadhi ya kukutana na akina richforever anaanzaje kutembea na ule utitili?Daah dada yangu umenifanya ni cheke then ni tafakari kwa hiyo type za Hamisa ni zipi?
Au selection ya baba ilifanywa based on type ya Hamisa na si mwenye mzigo wake.
Hamisa mwenye mdangaji unaweza ukakuta yy ndiye aliye mshawishi Nenga.