Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

Daah dada yangu umenifanya ni cheke then ni tafakari kwa hiyo type za Hamisa ni zipi?

Au selection ya baba ilifanywa based on type ya Hamisa na si mwenye mzigo wake.

Hamisa mwenye mdangaji unaweza ukakuta yy ndiye aliye mshawishi Nenga.
Hii kitu hata sielewi, mtu ashakuwa na hadhi ya kukutana na akina richforever anaanzaje kutembea na ule utitili?
 
Mmh aisee hadi mwili umesisimuka. Pamoja na hivyo, mtu akitumia dawa muda mrefu lazima mwisho signs zionekane, tofauti na yule kaka anaeumwa, mbona sioni mwingine ambae dalili zishakuwa wazi? Yule binti muogea maziwa yeye tunamjua ngoma anayo, je hawa wengine vip? Wanazungukana wakati wanajua hii kitu inachanganya.
 
Aisee noma sanaaa
 

Mond ----> Betto
 
Anaetumia dawa vizuri na kufuata msharti hauwezi kuja kuona signs ,unaokuja kuona signs ni wale ambao bado wanakunywa mipombe,dawa hanywi kwa wakati ,ngono kwa sana ndio wanaokuja kutoa signs.

Kipilipili kampa "juliana" Janjaro na yeye anagawa kwa wengine tu.
 
Hii kitu hata sielewi, mtu ashakuwa na hadhi ya kukutana na akina richforever anaanzaje kutembea na ule utitili?
Rich forever alikuwa anasafisha rungu kama Nenga na kumbuka Nenga alikuwa wa kwanza kabla ya Richforever.

Mwanamke akishakuwa mdangaji hata maamuzi yake yanakuwa ya kimalaya malaya,kwani kudanga ni updated version ya umalaya.

Unaweza kipindi alipokuwa akiwa gonganisha Nenda na Chibu unaweza ukakuta bado kulikuwa na list nyingine alikuwa anadate nao.
 
Mkuu ilikua ndoa au hawakufika huko?
 
Mwenye ngoma kaoa mwenye ngoma...sijui umeelewa hapa
Nasnza kuielewa maana mmoja angekuwa hana asingeweza kunioa wameamua kubebana ili walindane maana dah
Kale ka nenga na kile ki mdomo? Kha si bora hata akina vunja bei ni mwanaume hata wakimkuta nae sawa tu. Nenga? 🤣🤣
 

Umeandika kwa uchungu hadi nimehisi huruma jamani, pole sikupanga niumize hisia zako, 🥲

Ila si ungesema tu hua mnachukua wote ndio maana mnajuana? [emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…