Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

Umaarufu unawalevya,mwishowe wanajiona wana fly high
Wasanii wengi wana wenge tu
Wapo wasanii wanaojitambua na kujiheshimu...
Kule ni mtaani kwao ilitokea tu ndio basi ishatoke Ila hata wewe mtaani kwako unakua na amani kuliko unapoenda mitaa ya watu lazima ujihami, kuna mtu anafanya ujanja wote mtaani kwake tu na watu wanamvumilia sababu wanamjua Sasa akitoka akaenda kufanya wasipomjua wanamzimisha au anaweza akawa ameingia mtu kwenye huo mtaa wake akawa hajajua km huyu jamaa ni mtaa wake akaona km namna gani akaamua kumzimisha
 
Chidi ana mental issue nashangaa mnamvyomjadili hapa kama ana akili timamu

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Afadhali umeanza kusema wewe mkuu. Mimi sio mshabiki wa miziki hii ya ngono lakini nafahamu kuwa Chid ni teja anayekaribia kuokota makopo. Nashangaa jamaa anamfungulia uzi hapa kama vile ni mtu mwenye akili timamu.
 
Nimeona Chid analalamika kaimba na Diamond ila ajalipwa pesa.

Ni hivi Chid Benz ana wimbo unaitwa Tunaishi nao kamshilikisha Diamond Platnumz...
Wewe nae huwa unapoteza muda kwenye vitu ambavyo hata havina msingi …sasa mtu kama Chid Benz ni wakumuandikia thread kweli? Kwanza hata ana kumbuka alichokisema?

Chid Benz ukiacha shida ya madawa lakini ana shida ya afya ya akili kwa hiyo kupambana na Chid ni kupambana na mgonjwa wa akili…unapoteza muda maana hadi Chid hakumbuki kama alifanya hayo mahojiano……..
 
Afadhali umeanza kusema wewe mkuu. Mimi sio mshabiki wa miziki hii ya ngono lakini nafahamu kuwa Chid ni teja anayekaribia kuokota makopo. Nashangaa jamaa anamfungulia uzi hapa kama vile ni mtu mwenye akili timamu.
Hayuko sawa kichwani

ova
 
Tofaut yetu sisi binadamu wakawaida na wanamziki ni vile wao tu maarufu na habari zao zinapatikana kirahis ,privacy Yao ni zero ila sisi pia tusio wanamziki au maarufu tunazingua kuliko wao sometime tunapitia majanga kuliko wao ni vile tu underdogs habari zetu zinabaki mtaani kwa familia
Mafanikio ni Mali na watoto hasa Kwa mwanamke
 
Embu mchek diamond alivyokua dodoma ....kile kipande anagawa kofia.....yaani kama kachizika flani hivi..
Just go and watch
Wanakuja kama wamepagawa siriaz
 
Bila kusahau Michael jackson, yani muziki ni kazi ya Laana ni waimba muziki wachache sana huishia vizuri ila baadhi humaliza vibaya sana tena wengine hata kuuwawa
 
Unamaanisha Clouds TV walikuwa wanafanya interview na mwendawazimu?
Na akatoa shutuma kwa msanii mwingine nao wakazilusha kama zilivyo kwa kuwa wanajua watanzania watachukulia ni shutuma kutoka kwa kichaa?
Unapata shida ikifanyika any clarification kuhusu hizi shutuma unatamani kila mtu ameze kama zilivyo?
Sawa nimekuelewa.
 
Embu mchek diamond alivyokua dodoma ....kile kipande anagawa kofia.....yaani kama kachizika flani hivi..
Just go and watch
Wanakuja kama wamepagawa siriaz
Umaarufu una mchanganya
Anajiona anaweza fanya lolote
Kuwa vuta watu

Ova
 
Bila kusahau Michael jackson, yani muziki ni kazi ya Laana ni waimba muziki wachache sana huishia vizuri ila baadhi humaliza vibaya sana tena wengine hata kuuwawa
Elvis presley ....alitamba sana
Alipendwa sana ila mwishowe ndy
Hivyo naye alijingiza kwenye madawa nk
Fame huwa inawapagawisha

Ova
 
Kama wale wainjilist wa mwanzo mwanzo, nao walipotea hivi hivi, na wakaja wengine nao watapotea, au vipi?!!
 
Niliangalia interview chidi amedata kabisa motherboard kichwani imeungua kabisa yani hajui hata anajibu nini wala anaongea nini anahitaji msaada na siyo kuhojiwa nafikiri hata mamaake inawezekana amedondosha machozi alivyoona hiyo interview
 
Again, wote hawa ni wasanii si wanamuziki wa maaana. In short, ni waigizaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…