Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Kule ni mtaani kwao ilitokea tu ndio basi ishatoke Ila hata wewe mtaani kwako unakua na amani kuliko unapoenda mitaa ya watu lazima ujihami, kuna mtu anafanya ujanja wote mtaani kwake tu na watu wanamvumilia sababu wanamjua Sasa akitoka akaenda kufanya wasipomjua wanamzimisha au anaweza akawa ameingia mtu kwenye huo mtaa wake akawa hajajua km huyu jamaa ni mtaa wake akaona km namna gani akaamua kumzimishaUmaarufu unawalevya,mwishowe wanajiona wana fly high
Wasanii wengi wana wenge tu
Wapo wasanii wanaojitambua na kujiheshimu...