DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Hakuna kutumia kwa viwango kwenye unga hususan Cocaine, ukianza kutumia kutumia utakuwa unapanda tu viwango vya matumizi.Madawa yes yana grade zake!
Kuna watu smart, matajiri, wanasiasa ,wasanii n.k wanatumia ile grade nzuri ya juu ,,,, wanatumia kwa viwango pia, sio kubwia tu!
Hawa wanaosiz na kutoa udenda wanatumia ile grade ya mwishoni ama tuite makapi,,,, lishe mbovu pia hakuna viwango/vipimo maaulumu!
Chasing the high ...Hakuna kutumia kwa viwango kwenye unga hususan Cocaine, ukianza kutumia kutumia utakuwa unapanda tu viwango vya matumizi.
Acha hadithi za mitaani, kaa mbali na madawa
Madawa ni madawa tuMadawa yes yana grade zake!
Kuna watu smart, matajiri, wanasiasa ,wasanii n.k wanatumia ile grade nzuri ya juu ,,,, wanatumia kwa viwango pia, sio kubwia tu!
Hawa wanaosiz na kutoa udenda wanatumia ile grade ya mwishoni ama tuite makapi,,,, lishe mbovu pia hakuna viwango/vipimo maaulumu!
Exactly 💯Hakuna kutumia kwa viwango kwenye unga hususan Cocaine, ukianza kutumia kutumia utakuwa unapanda tu viwango vya matumizi.
Acha hadithi za mitaani, kaa mbali na madawa
Bado anatafuta sympathy huyuUshaacha madawa ni bora ungetulia tu kuliko kualibu taswira za wengine. Unavyosema wasanii ni kama unajumuisha wote.
Usijidanganye Unga ni unga tu haina grade ukiwa unavuta utachakaa utakeusitake, kwa Justin bieber anatumia makapi? Ila yuko vipi? Vipi wewe mwenzangu na mimi.Madawa yes yana grade zake!