Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

Madawa yes yana grade zake!

Kuna watu smart, matajiri, wanasiasa ,wasanii n.k wanatumia ile grade nzuri ya juu ,,,, wanatumia kwa viwango pia, sio kubwia tu!

Hawa wanaosiz na kutoa udenda wanatumia ile grade ya mwishoni ama tuite makapi,,,, lishe mbovu pia hakuna viwango/vipimo maaulumu!
Achana na story za mitaan
Madawa ni noma !
 
Mondi wema wote Wana pyenga
90% ya wanamuziki iwe ulaya au Marekani wengi wana sniff ila hawavuti sababu ya starehe bali wanavuta ili wawe high kwenye stage,,elewa neno high.

Akiwa kwenye live performing anakuwa very active.
Usione vile mkuu wengi mateja hayo.
Ila wanavuta cocaine.,hata hawa wa kwetu pia wengi pia mateja.. especially wakiwa kwenye live performing on the stage lazima wavute rock.
 
Yeah I know nimefanya mziki nalijua Hilo , mziki wenyewe the way ulivyo Ile instrumental ni kilevi kabisa

Pale unapokuwa unavisikia vyombo vinavyolia ndani ya ngoma ya sikio una get high ndio unaanza kupata melody za Uimbaji, Hii ni Kwa wale haswaaa wenye kipaji halisi Cha huo mziki na hapo mtu kama huyo akianza kuandika lazima atoe hits song cause anakuwa high kabisa vile vyombo the way anavyo visikia vinavyo piga kwenye ngoma ya ndani masikio Huwa kama kilevi una changanyikiwa kabisa ,,

Mimi binafsi Huwa hata nikisikiliza mziki mkali wenye melody Kali na rylics Kali sana Huwa na feel kutokwa na machozi and I believe mziki ndio kitu kinacho nifanya niwe high ijapokuwa now nimeweza kumaintain kuwa nao mbali kidogo kutokana na majukumu
 
Ni kwl mkuu,na pia nashukuru Kwa ushuhuda wako ktk hili.
Mimi nimekaa na watu wa aina nyingi ktk harakati zng za kutafuta maisha.

So nawajuwa vzr sn.especially nilipokuwa south Africa, Greece na India nimewajuwa zaidi .,namjuwa mvuta madawa Kwa kumuona at first sight,hata ajifiche vipi.
 
Aisee experience kubwa sana
 
Kwani cocain ni nzr

Ova

Vijana wengi wa Tanzania wanatumia heroin ambayo ikitumia unakuwa addictive and depend on it. Kwa maana lazima upate la sivyo unaumwa alosto na ni hatari na inadhoofisha haraka zaidi. Chidi anaongelea cocaine, hii ni addictive lakini ni kama pombe, unaenjoy ukitumia lakini usipopata huwezi kuwa na alosto. Na watumiaji wengi wa cocaine ni ngumu kuwagundua wengi wanaonekana watu wa kawaida tu. Heroine ni hatari zaidi ya crack cocaine
 
Madawa yes yana grade zake!

Kuna watu smart, matajiri, wanasiasa ,wasanii n.k wanatumia ile grade nzuri ya juu ,,,, wanatumia kwa viwango pia, sio kubwia tu!

Hawa wanaosiz na kutoa udenda wanatumia ile grade ya mwishoni ama tuite makapi,,,, lishe mbovu pia hakuna viwango/vipimo maaulumu!
Hadithi hii kakufundisha nani? Kwamba kuna sumu ya kiwango na sumu ya chini ya kiwango? Basi hayo ya gredi ya juu nchi kama Marekani yangekuwa yameshahalalishwa kwa sababu ya ubora wake.
 
Back
Top Bottom