mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Hata cocaine mteja unamjuwa mkuu,Vijana wengi wa Tanzania wanatumia heroin ambayo ikitumia unakuwa addictive and depend on it. Kwa maana lazima upate la sivyo unaumwa alosto na ni hatari na inadhoofisha haraka zaidi. Chidi anaongelea cocaine, hii ni addictive lakini ni kama pombe, unaenjoy ukitumia lakini usipopata huwezi kuwa na alosto. Na watumiaji wengi wa cocaine ni ngumu kuwagundua wengi wanaonekana watu wa kawaida tu. Heroine ni hatari zaidi ya crack cocaine
Na hata hyo cocaine Ina arosto pia.
Tana hyo ndy inafilisi sana matajiri kuliko heroin.