Hata cocaine mteja unamjuwa mkuu,Vijana wengi wa Tanzania wanatumia heroin ambayo ikitumia unakuwa addictive and depend on it. Kwa maana lazima upate la sivyo unaumwa alosto na ni hatari na inadhoofisha haraka zaidi. Chidi anaongelea cocaine, hii ni addictive lakini ni kama pombe, unaenjoy ukitumia lakini usipopata huwezi kuwa na alosto. Na watumiaji wengi wa cocaine ni ngumu kuwagundua wengi wanaonekana watu wa kawaida tu. Heroine ni hatari zaidi ya crack cocaine
Anayejichua hawezi kuwa mwehu, hawezi kuacha kazi, hawezi kuacha kula, na hawezi kufa sababu ya overdose ya mchuoHivi kuna tofauti gani kati ya mtu anayetumia madawa ya kulevya; na mtu anayependa kujichua, anayependa kubet, kushinda instagram/facebook/tiktok/jamii forums 24/7, anayependa sana pombe, anayependa sana totoz, anayependa kushabikia mpira wa miguu, anayeshabikia ccm, nk.
Hiyo sio high ni musical or sonic aesthetics. High comes from vileo tuYeah I know nimefanya mziki nalijua Hilo , mziki wenyewe the way ulivyo Ile instrumental ni kilevi kabisa
Pale unapokuwa unavisikia vyombo vinavyolia ndani ya ngoma ya sikio una get high ndio unaanza kupata melody za Uimbaji, Hii ni Kwa wale haswaaa wenye kipaji halisi Cha huo mziki na hapo mtu kama huyo akianza kuandika lazima atoe hits song cause anakuwa high kabisa vile vyombo the way anavyo visikia vinavyo piga kwenye ngoma ya ndani masikio Huwa kama kilevi una changanyikiwa kabisa ,,
Mimi binafsi Huwa hata nikisikiliza mziki mkali wenye melody Kali na rylics Kali sana Huwa na feel kutokwa na machozi and I believe mziki ndio kitu kinacho nifanya niwe high ijapokuwa now nimeweza kumaintain kuwa nao mbali kidogo kutokana na majukumu
Hata cocaine mteja unamjuwa mkuu,
Na hata hyo cocaine Ina arosto pia.
Tana hyo ndy inafilisi sana matajiri kuliko heroin.
Madawa ni madawa hata hiyo cocainVijana wengi wa Tanzania wanatumia heroin ambayo ikitumia unakuwa addictive and depend on it. Kwa maana lazima upate la sivyo unaumwa alosto na ni hatari na inadhoofisha haraka zaidi. Chidi anaongelea cocaine, hii ni addictive lakini ni kama pombe, unaenjoy ukitumia lakini usipopata huwezi kuwa na alosto. Na watumiaji wengi wa cocaine ni ngumu kuwagundua wengi wanaonekana watu wa kawaida tu. Heroine ni hatari zaidi ya crack cocaine
Bro alosto maana yake ni the need to use it. Cocaine haiko hivyo, ni sawa na pombe, mtu kunywa kila siku ni addicted lakini asipokunywa hawezi kuumwa ndio maana yake tunasema haina alosto.
Mateja wa cocaine wengi si rahisi kuwagundua kwasababu inatumiwa na watu usiowategemea kama hawa vibaka. Sababu ya kufilisi ni nyingine sana, si alosto
Nani kakuambia coca haina arostoBro alosto maana yake ni the need to use it. Cocaine haiko hivyo, ni sawa na pombe, mtu kunywa kila siku ni addicted lakini asipokunywa hawezi kuumwa ndio maana yake tunasema haina alosto.
Mateja wa cocaine wengi si rahisi kuwagundua kwasababu inatumiwa na watu usiowategemea kama hawa vibaka. Sababu ya kufilisi ni nyingine sana, si alosto
Cocaine for years sio Mimi tafiti zipo ni ule unga msafii.. kina lily wyne, Whitney Houston, Yusuf manji e.t.c walitumia/wametumiaHakuna kutumia kwa viwango kwenye unga hususan Cocaine, ukianza kutumia kutumia utakuwa unapanda tu viwango vya matumizi.
Acha hadithi za mitaani, kaa mbali na madawa
Watu haya mambo wanaongea juu juuMkuu mimi kwenye hizi mambo ni kama unataka kumfundisha samaki kuogelea
Kwanza neno lenyewe sio alosto,ni arrostos ni neno la kigiriki maana yake ni kuumwa.(mtu anakuwa kama anapigwa shot ya umeme)
Pili hao mateja wa cocaine kama huwajuwi ni wewe ila Mimi nawajuwa vzr na hawajifichi sababu nimekaa nao.
Cocaine Ina arostos kama heroin ila shida ya heroin ipo very strongly arrostos.
Mteja wa cocaine anaweza akaja kununuwa kete Kwa siku hata mara 10 akawa anavuta na aka enjoy sn.
Ila mteja wa heroin siI rahisi kuvuta kete kumi Kwa siku...
Ila zote zinakupa arrostos na ukihitaji utafanya lolote upate sniff..
Mteja yeyote kama bado hajawa chronic sio rahisi kumshtukia hadi awe ameshakuwa addicted na madawa.
Mteja yeyote muangalie sura yake na jinsi uongeaji wake.utamgunduwa mapema tu.
Anayeshabikia fisiem ana madhara makubwa!Hivi kuna tofauti gani kati ya mtu anayetumia madawa ya kulevya; na mtu anayependa kujichua, anayependa kubet, kushinda instagram/facebook/tiktok/jamii forums 24/7, anayependa sana pombe, anayependa sana totoz, anayependa kushabikia mpira wa miguu, anayeshabikia ccm, nk.
Huwezi kuacha ni kama ww uache kuvuta pumzi hakika huwezi mpaka kifoChidi Mungu amekuokoa,
Usirudi tena huko,
Coz sometimes opportunity doesn't knock twice.
Hayo madude ni hatare yali muharibu classmate wa primary alikuaga mtu cool mpole sana sijui kilitokea nini secondary school.Watu haya mambo wanaongea juu juu
Ule uhalisia wenyewe hawaujui
Huyu chidy unga si kaanza kuvuta juZi juzi tu
Kuna watu humu wanataka kubishana na waalim 😄
Hyo coca yenyewe inayokuja bongo ikifika watu wanaipiganisha wanaichanganya na lactose nk
Heroine nayo ikija nayo wanaichanganya na ashton nk
Ova
Mkuu mimi kwenye hizi mambo ni kama unataka kumfundisha samaki kuogelea
Kwanza neno lenyewe sio alosto,ni arrostos ni neno la kigiriki maana yake ni kuumwa.(mtu anakuwa kama anapigwa shot ya umeme)
Pili hao mateja wa cocaine kama huwajuwi ni wewe ila Mimi nawajuwa vzr na hawajifichi sababu nimekaa nao.
Cocaine Ina arostos kama heroin ila shida ya heroin ipo very strongly arrostos.
Mteja wa cocaine anaweza akaja kununuwa kete Kwa siku hata mara 10 akawa anavuta na aka enjoy sn.
Ila mteja wa heroin siI rahisi kuvuta kete kumi Kwa siku...
Ila zote zinakupa arrostos na ukihitaji utafanya lolote upate sniff..
Mteja yeyote kama bado hajawa chronic sio rahisi kumshtukia hadi awe ameshakuwa addicted na madawa.
Mteja yeyote muangalie sura yake na jinsi uongeaji wake.utamgunduwa mapema tu.
Nani kakuambia coca haina arosto
Tushawaona watumiaji wa coca wengi
Tu na heshima zao akihitaji ni mwendo wa kugaragara tu mpk aipate
Ova
Heroin ni hatari zaidi ndy maana ukikamatwa baadhi ya inchi na heroin ni kifungo kirefu kuliko cocaine.Hadithi hii kakufundisha nani? Kwamba kuna sumu ya kiwango na sumu ya chini ya kiwango? Basi hayo ya gredi ya juu nchi kama Marekani yangekuwa yameshahalalishwa kwa sababu ya ubora wake.
Na wenyewe wanasema "brown sugar" ni tamu kuliko "white sugar".Heroin ni hatari zaidi ndy maana ukikamatwa baadhi ya inchi na heroin ni kifungo kirefu kuliko cocaine.
Umewahi kusikia watu wangapi wamekufa Kwa kujichuaHivi kuna tofauti gani kati ya mtu anayetumia madawa ya kulevya; na mtu anayependa kujichua, anayependa kubet, kushinda instagram/facebook/tiktok/jamii forums 24/7, anayependa sana pombe, anayependa sana totoz, anayependa kushabikia mpira wa miguu, anayeshabikia ccm, nk.