Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Yule Mtanganyika na Mbongofleva aliyeenda na Cocaine Airport huku akiweka kwenye mfuko wa shati ,ameandika huko tweeter kwamba tumuombee ili mungu amsimamie atoke salama. Leo kesi yake ndo inatajwa tena.
Haya muombeeni basi mtoto wa Ilala, Ila Deo Corleone hatoomba chochote, nasubiri Mahakama itoe adhabu Kali ili iwe fundisho kwa wote wa wasio na akili!
Utaendaje airport na cocaine kwenye mfuko wa shati?
Updates

Kesi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro aka 'Chid Benz' ya kukamatwa na dawa za kulevya imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu Jijini Dar es Salaam na kuhairishwa tena hadi Desemba mosi, mwaka huu.
Hii imekuja baada ya upande wa Jamhuri kuomba kesi hiyo ipelekwe mbele ili kukamilisha upelelezi