Chid Benz: Watanzania Niombeeni leo Mahakamani

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Yule Mtanganyika na Mbongofleva aliyeenda na Cocaine Airport huku akiweka kwenye mfuko wa shati ,ameandika huko tweeter kwamba tumuombee ili mungu amsimamie atoke salama. Leo kesi yake ndo inatajwa tena.

Haya muombeeni basi mtoto wa Ilala, Ila Deo Corleone hatoomba chochote, nasubiri Mahakama itoe adhabu Kali ili iwe fundisho kwa wote wa wasio na akili!

Utaendaje airport na cocaine kwenye mfuko wa shati?

Updates

Kesi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro aka 'Chid Benz' ya kukamatwa na dawa za kulevya imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu Jijini Dar es Salaam na kuhairishwa tena hadi Desemba mosi, mwaka huu.

Hii imekuja baada ya upande wa Jamhuri kuomba kesi hiyo ipelekwe mbele ili kukamilisha upelelezi

[h=2]CHID Benz , mahakama hii inakuhukumu kifungo cha miaka 7 jela, viboko 14 na kazi ngumu ya kuvunja mawe yawe kokoto.
[/h]Koooorti......
 
Mi simuombei hata, Nawaombea wale wote walioathirika na madawa ya kulevya wakati watu kama Chid Benz na wenzake wakineemeka. Infact namuombea hakimu afunguke akili atoe adhabu ya kutosha.
 
Kama anastahili hukumu,basi maombi ni kuwa apewe hukumu ya kueleweka, hakimu asipepese macho.
 
Imagine Chid ni kaka yangu,pia ni mwathirika wa mihadarati,ningesoneneka sana na kuingiwa uchungu na huruma!Kuwa mwathirika ni adhabu tosha,jela haitamsaidia kitu anahitaji tiba jamani...ila wasambazaji ndo wanastahili adhabu na jela,akifungwa chidi sio suluhisho...my prayers are with him!
 
[h=2]CHID Benz , mahakama hii inakuhukumu kifungo cha miaka 7 jela, viboko 14 na kazi ngumu ya kuvunja mawe yawe kokoto.
[/h]Koooorti......

hakuna hukumu kama hiyo mkuu mtu kakutwa na kete 13 kete moja sh 2000/, bangI zile kakutwa nazo 2 bangi moja sh 500/
kumbuka chidy yeye ni muathirika wa madawa...syo muuzaji ana stahili kuwekwa kwenye kituo cha kuacha madawa...rehab(ila mm methedon sikubali kabisa maana haina tofauti na drugs)

.
 
Apewe adhabu kali,ili iwefundisho kwa watu wengine wenye tabia yake
 
Imagine Chid ni kaka yangu,pia ni mwathirika wa mihadarati,ningesoneneka sana na kuingiwa uchungu na huruma!Kuwa mwathirika ni adhabu tosha,jela haitamsaidia kitu anahitaji tiba jamani...ila wasambazaji ndo wanastahili adhabu na jela,akifungwa chidi sio suluhisho...my prayers are with him!
kweli kabisa mkuu tatizo kuna watu hawajawahi kukutwa na balaa hizi au kuwa na ndigu/rafiki anaye tumia hii kitu
 
Imagine Chid ni kaka yangu,pia ni mwathirika wa mihadarati,ningesoneneka sana na kuingiwa uchungu na huruma!Kuwa mwathirika ni adhabu tosha,jela haitamsaidia kitu anahitaji tiba jamani...ila wasambazaji ndo wanastahili adhabu na jela,akifungwa chidi sio suluhisho...my prayers are with him!

Ndo aende na unga airport tena ameweka kwenye mfuko wa shati?
 
Mm kama kijana ambae najua nn maana ya matizo,nasema mungu amsaidie sana CHID,najua kuwa kuna wakati mbaya kwa kila mtu chini ya jua,ambao kila unacho kifanya kinagonga mwamba mitihani ya kila namna ipo kwa upande wako,wakati huo huwa mgumu sana kwa kila mtu:hapo ndio aseye kupenda anakuonesha wazizi na naliye kukutenda,kwa kifupi niwakati mbaya sana.wasanii wote nchini naomba mumsaidie CHID kwa hali na mali kwakuwa yeye ni mwenzenu na anamchongo mkubwa sana kwenye MUZIKI wa TANZANIA.hatakama mnatofauti basi wekeni pembe kwanza,CHID mungu akusaidie kaka,najua bado unandoto nyingi sana kaka ila yatakuwa tu kaka "soma kitabu cha 'AYUBU' kwenye bible unaona njinsi ambavyo wakati mbaya humfika mtu yoyote na jinsi ya kufanya ili ushinde"HAKUNA MUNGU APASWAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA MUNGU WA ARDHI NA MBINGU"so long my boza.......
 
Angeshikiwa Uarabuni kesi hii ingekuwa imekwisha siku nyiiiingiiiii,maana wale jamaa wakikushika na 'evidence' uwa hawana mda wa kuunda tume.
 
Ndo aende na unga airport tena ameweka kwenye mfuko wa shati?

alikuwa kwenye alosto alikururupuka nayo itakuwa ila kumfunga haisaidi kitu siyo kumsaidia ni kumkomoa tu.
ukikipita manyanya mateja wanakamatwa na kete nyingi tu na polisi wanawaachia wanajua kuwa handle hawawezi
 
Alisema ameacha drugs kitambo sana
 
Mm kama kijana ambae najua nn maana ya matizo,nasema mungu amsaidie sana CHID,najua kuwa kuna wakati mbaya kwa kila mtu chini ya jua,ambao kila unacho kifanya kinagonga mwamba mitihani ya kila namna ipo kwa upande wako,wakati huo huwa mgumu sana kwa kila mtu:hapo ndio aseye kupenda anakuonesha wazizi na naliye kukutenda,kwa kifupi niwakati mbaya sana.wasanii wote nchini naomba mumsaidie CHID kwa hali na mali kwakuwa yeye ni mwenzenu na anamchongo mkubwa sana kwenye MUZIKI wa TANZANIA.hatakama mnatofauti basi wekeni pembe kwanza,CHID mungu akusaidie kaka,najua bado unandoto nyingi sana kaka ila yatakuwa tu kaka "soma kitabu cha 'AYUBU' kwenye bible unaona njinsi ambavyo wakati mbaya humfika mtu yoyote na jinsi ya kufanya ili ushinde"HAKUNA MUNGU APASWAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA MUNGU WA ARDHI NA MBINGU"so long my boza.......

kweli kabisa mkuu ulichosema
 
We chidi kichwa cha benzi hivi ni kweli akili yako iko kwa dereva wa benzi?
Uliwaza nini kwenda na hiyo kitu pale au ulijifananisha na rais wa china? Nakuombea adhabu inayolingana na kesi yako! Over!!!
 
Mm kama kijana ambae najua nn maana ya matizo,nasema mungu amsaidie sana CHID,najua kuwa kuna wakati mbaya kwa kila mtu chini ya jua,ambao kila unacho kifanya kinagonga mwamba mitihani ya kila namna ipo kwa upande wako,wakati huo huwa mgumu sana kwa kila mtu:hapo ndio aseye kupenda anakuonesha wazizi na naliye kukutenda,kwa kifupi niwakati mbaya sana.wasanii wote nchini naomba mumsaidie CHID kwa hali na mali kwakuwa yeye ni mwenzenu na anamchongo mkubwa sana kwenye MUZIKI wa TANZANIA.hatakama mnatofauti basi wekeni pembe kwanza,CHID mungu akusaidie kaka,najua bado unandoto nyingi sana kaka ila yatakuwa tu kaka "soma kitabu cha 'AYUBU' kwenye bible unaona njinsi ambavyo wakati mbaya humfika mtu yoyote na jinsi ya kufanya ili ushinde"HAKUNA MUNGU APASWAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA MUNGU WA ARDHI NA MBINGU"so long my boza.......

kweli kabisa mkuu uliki post hapo
 
EMMANUEL JACKSON Imagine kama kila mtu anayekubwa na matatizo angekimbilia drugs sisi wote tungekuwa mateja mbona. Nani asiye na matatizo dunia hii, nani ambaye hajapita kipindi kigumu katika maisha yake, matatizo yanatofautiana lakini haya ya wasanii wetu na wengine all over the world mengi ni ya kujitakia.
 
Last edited by a moderator:
Alisema ameacha drugs kitambo sana

watumiaji wengi wanakuwaga waongo hata ray c kipindi cha nyuma alisemaga kaacha mpaka kuja kutibiwa tena na akapelekwa hadi ikulu.
chidy naye anatakiwa asaidiwe aweze kuacha kusaidiwa kuacha ngada syo fedha ni yeye chidy kukubali toka ktk nafsi yake kuacha pili marafiki waliyomzunguka wam support ktk hiyooo
 
Back
Top Bottom