Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Hii issue hawa jamaa walikuwa wanatafuta kick Chidi Benz alipaswa kukaa sober house si chini ya miezi 6, kuacha madawa ya kulevya sio kazi rahisi
Muache atumie hadi apotee xho ishu kwani mateja wangapi wanaumia
 
Bangi na pombe ni state he tosha na mapenzi. Kwanini ujaribu starehe za kijinga .. Binadam anahangaika na nafsi Yake
 
Chid Benz amerudia tena madawa ya kulevya na yupo kwenye hali mbaya
Mwana Fa alimuomba Babu Tale wamsaidie msanii huyo hivi karibuni lakini Babu Tale akasema hatomsaidia tena kwa kuwa Chid Benz ni kama sikio la kufa, halisikii dawa
Watu kadhaa walitabiria Chid Benz kurudia kutumia madawa kutokana na msanii huyo kukosa nidhamu na utabiri wao umetimia

weka picha mkuu tumuone jamaa kwa sasa anaonekaneje
 
Hii issue hawa jamaa walikuwa wanatafuta kick Chidi Benz alipaswa kukaa sober house si chini ya miezi 6, kuacha madawa ya kulevya sio kazi rahisi

True, nilishangaa wakisema mwezi mmoja
Si rahisi namna hiyo
 
Hii issue hawa jamaa walikuwa wanatafuta kick Chidi Benz alipaswa kukaa sober house si chini ya miezi 6, kuacha madawa ya kulevya sio kazi rahisi
Sasa ww ulitaka wamsaidie mpaka wap?kwan walimkata chid kukaa sober house miezi sita?ukibebwa bebeka,chid si mtt kihivyo wa kubembelezwa kuhusu afya yake,kama ww unaweza nenda kamsaidie hujakatazwa nafasi ipo wazi,lazima upongeze hata hapo padogo walipojitahidi uwezi beza moja kwa moja,cos kuacha pia sio kazi ngumu kama unavyofikilia case study ray c,kashindwa JK nan atamuweza
 
Hahaha
Kuna sehemu huja nielewa
 
Zile hierarchy of needs....wasanii hawapitii zote....wanaruka baadhi ambazo ni muhimu. Sasa wakianza kuteremka kupitia zile walizopaswa kupitia ndio tabu inaanza
Mkuu kama nimekuelewa sana
 
Yaani mkuu mm huwa nashangaa kweli hii biashara kuebdelea kuwepo wakati watumiaji kama hawa wanaweza kusaidia kuonesha yanapo patikana
Kweli kabisa mkuu, huwezi kutatua tatizo kama hujui kiini chake!!
Wakitaka hawa watu waache wawathibiti hao wanaowauzia...
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Madawa ya kulevya sio mabaya inategemea mtumiaje anatumia gredi ipi.... Na anayo pesa ya kutosha.

Tofauti na hapo utakuwa teja ambaye achoka kwa sababu unatumia madawa ya kulevya gredi ya chini wanaita " unga mchafu "
Na huwezi kubadili damu kila baada ya miezi 6.
Unapojifanya unajua kumbe you know nothing..
 
Back
Top Bottom