Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache atumie hadi apotee xho ishu kwani mateja wangapi wanaumiaHii issue hawa jamaa walikuwa wanatafuta kick Chidi Benz alipaswa kukaa sober house si chini ya miezi 6, kuacha madawa ya kulevya sio kazi rahisi
We huoni mkuu wa nchi kaunga unga hadi ana PHD, ku unga unga ndio habar ya mjini.wasomi wa kuunga unga utawajua tu lazima achomeke tumjue anajua
[emoji28][emoji28]umewaza nini...we njoo tuDaaah!
Uje umenifanya nuwaze mbali sana.
[emoji39] naja
Halafu ujue hadi sijalala naendelea kuwaza.[emoji28][emoji28]umewaza nini...we njoo tu
Chid Benz amerudia tena madawa ya kulevya na yupo kwenye hali mbaya
Mwana Fa alimuomba Babu Tale wamsaidie msanii huyo hivi karibuni lakini Babu Tale akasema hatomsaidia tena kwa kuwa Chid Benz ni kama sikio la kufa, halisikii dawa
Watu kadhaa walitabiria Chid Benz kurudia kutumia madawa kutokana na msanii huyo kukosa nidhamu na utabiri wao umetimia
Hii issue hawa jamaa walikuwa wanatafuta kick Chidi Benz alipaswa kukaa sober house si chini ya miezi 6, kuacha madawa ya kulevya sio kazi rahisi
Bora uandike kiswahili kuliko kuchafua hii lugha ya watu.Life is full choices
Everybody has got their destiny
Let their choices lead them to their destiny
Sasa ww ulitaka wamsaidie mpaka wap?kwan walimkata chid kukaa sober house miezi sita?ukibebwa bebeka,chid si mtt kihivyo wa kubembelezwa kuhusu afya yake,kama ww unaweza nenda kamsaidie hujakatazwa nafasi ipo wazi,lazima upongeze hata hapo padogo walipojitahidi uwezi beza moja kwa moja,cos kuacha pia sio kazi ngumu kama unavyofikilia case study ray c,kashindwa JK nan atamuwezaHii issue hawa jamaa walikuwa wanatafuta kick Chidi Benz alipaswa kukaa sober house si chini ya miezi 6, kuacha madawa ya kulevya sio kazi rahisi
[emoji45][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Zile zile za Maslow?
HahahaSasa ww ulitaka wamsaidie mpaka wap?kwan walimkata chid kukaa sober house miezi sita?ukibebwa bebeka,chid si mtt kihivyo wa kubembelezwa kuhusu afya yake,kama ww unaweza nenda kamsaidie hujakatazwa nafasi ipo wazi,lazima upongeze hata hapo padogo walipojitahidi uwezi beza moja kwa moja,cos kuacha pia sio kazi ngumu kama unavyofikilia case study ray c,kashindwa JK nan atamuweza
Mkuu kama nimekuelewa sanaZile hierarchy of needs....wasanii hawapitii zote....wanaruka baadhi ambazo ni muhimu. Sasa wakianza kuteremka kupitia zile walizopaswa kupitia ndio tabu inaanza
Kweli kabisa mkuu, huwezi kutatua tatizo kama hujui kiini chake!!Yaani mkuu mm huwa nashangaa kweli hii biashara kuebdelea kuwepo wakati watumiaji kama hawa wanaweza kusaidia kuonesha yanapo patikana
Unapojifanya unajua kumbe you know nothing..Madawa ya kulevya sio mabaya inategemea mtumiaje anatumia gredi ipi.... Na anayo pesa ya kutosha.
Tofauti na hapo utakuwa teja ambaye achoka kwa sababu unatumia madawa ya kulevya gredi ya chini wanaita " unga mchafu "
Na huwezi kubadili damu kila baada ya miezi 6.
[emoji23]amka huko....Halafu ujue hadi sijalala naendelea kuwaza.
Kwa hiyo hujajua hadi sasa nimewza nn kweli!!! Haiezekani iyo
kumbe unauza siyo? Mungu anakuonaBasi sawa.
[emoji12] [emoji95] [emoji379]
Drug dealer....
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji23]amka huko....