Chidi Benz ndiye msanii bora zaidi katika mahojiano nchini

Chidi Benz ndiye msanii bora zaidi katika mahojiano nchini

Hivi Chid bado anaimba au bado anaendelea na issue zake za madawa...?
 
Bado hazitoshi mkuu..ongeza ukubwa wa hardisc yk ya kichwa ili uweze kumuelewa vzr chid a.k.a chuma...coz the nigga is more than a genius!
Mi 4gb inatosha siitaji zaidi ya hapo usiitaji kingine kile ambacho hutokiweza mkuu naridhika na hali yangu.
 
Nimefuatilia interview aliyofanya na Wasafi Media kupitia Kipindi cha Hivi ni kweli! Jamaa anajua Sana kujieleza kwenye Interviews

https://youtu.be/5J0dNKYZ09s

Nimekuwa nikifuatilia interviews Zake nyingi sana,Hakika Chid Benz naweza Sema ndio msanii wa Kwanza Tanzania Kwa Kujieleza Vizuri kwenye Interview

Over
Chid huyu huyu ambaye anajikana kwamba yeye ni tofauti na wa kwenye video? Au huyu Chid mwingine mkuu?
 
Naunga mkono huu uzi, huwa naenjoy sana kumsikiliza Chidi benz akiwa anahojiwa
 
Bob Marley unamuelewaje pamoja na amekufa kitambo ukiwa kiunoni kwa baba ako ,hadi anaishi pamoja nabangi ,kwan bangi inaubaya gani
Mkuu tafadhali kuniambia nilikuwa kiunoni kwa baba yangu ni kunikosea heshima..
Huenda mie ndio nilimtoa bkr mama yako mwaka aliokufa bob...

Mugabe mwenyewe na degree alizokuwa nazo alimuelewa bob..
Sembuse fala tu huyu anayeona
 
Polesana kujimwambafua kwa matusi
 
Back
Top Bottom