Chidi benzi karudia matumizi ya madawa ya kulevya

Uyo kalapina hivi haon watu wanaohitaji msaada wa sober pale wibu kila siku n chidi uyo mtu hajakubaliana na hali ya kuacha madawa wamwache akiwa tayali atawatafuta wenyewe sio kumfosi kama ivyo
Wallah weye ungekuwa karibu ningekuhonga kikombe kimoja cha Gahawa...
Mimi siku moja nimeona Picha ya huyu jamaa kwenye page ya personal Acc ya MTU akiwa maskani na muuza dawa mashuhuli kinondoni..nikashangaaa saana...sina hakika kama ana dhamira au anafanya kipindi kama ulaji
 
Nipe mkuu iyo Gahawa, anafanya kwa maslahi kipindi chake
 
Ukianza kutumia dawa za kulevya, ni kama siku ya kwanza kusex ile raha unayopata lazima urudie siku ya pili ..kuacha ni kazi sana
 
Back
Top Bottom