Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
umemsikia kweny interview ya planet bongo leo yani jamaa anaongea pumba tupa anajibu vitu asivyoulizwa jamaa karud kutumiaMbona chid kapiga shoo jana yupo poa tuu aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemsikia kweny interview ya planet bongo leo yani jamaa anaongea pumba tupa anajibu vitu asivyoulizwa jamaa karud kutumiaMbona chid kapiga shoo jana yupo poa tuu aisee
Wallah weye ungekuwa karibu ningekuhonga kikombe kimoja cha Gahawa...Uyo kalapina hivi haon watu wanaohitaji msaada wa sober pale wibu kila siku n chidi uyo mtu hajakubaliana na hali ya kuacha madawa wamwache akiwa tayali atawatafuta wenyewe sio kumfosi kama ivyo
Nipe mkuu iyo Gahawa, anafanya kwa maslahi kipindi chakeWallah weye ungekuwa karibu ningekuhonga kikombe kimoja cha Gahawa...
Mimi siku moja nimeona Picha ya huyu jamaa kwenye page ya personal Acc ya MTU akiwa maskani na muuza dawa mashuhuli kinondoni..nikashangaaa saana...sina hakika kama ana dhamira au anafanya kipindi kama ulaji
Bado hujaujua unga vizuri aisee,Mbona chid kapiga shoo jana yupo poa tuu aisee
Kafanyaje mkuuBado hujaujua unga vizuri aisee,
Hata kwenye hiyo show mambo aliyokuwa anayafanya jukwaani yalionyesha huyu jamaa ni mteja
Duuu ebana eh kwel siufahamu unga ndgu yangu nilijua yupo poa kumbe bado chenga nyingiiiBado hujaujua unga vizuri aisee,
Hata kwenye hiyo show mambo aliyokuwa anayafanya jukwaani yalionyesha huyu jamaa ni mteja