Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Jamaa kisaikolojia hayuko vizuri coz mara achome nyama ikiiva anaitoa then anaanza kushika shika na mikono..... Wakati wa kula mara achukuea ang'ate ARUDISHE ashike shike tena. All in all unaona hayuko sawa alafu ana ushamba flani hv...

Cjui amekuweje mnyakyusa huyu mbona anatudhalilisha sana but angekua msukuma it's ok
 
Angekuwa Msukuma, it’s okay?!!! Jamani, msituletee watu wa hovyo hivi. Huyu wenu wenyewe Wanyakyusa, mbaki nae huko huko.
 
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona dogo kaniacha parefu sana kimaisha.

Kabla sijampa maua yake najua humu yupo au kuna jamaa zake wanaomjua nilitaka kujua jamaa anafanya biashara gani mpaka asumbue na magari makali na nyumba nzuri yaani nika kama hush pupp fulani mdogo natamani nijue background yake anipe na mimi hamasa nirudi Njombe na VW new model.

View attachment 2655836
TRA watakuwa wanamfahamu
 
Back
Top Bottom