The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Yaani utazikunja 🤣🤣🤣Naona wanasema kanyimwa uhuru wa kula mbususu, aisee mimi ninyime vyote usininyime gambe na kyuma, tutapigana ww3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani utazikunja 🤣🤣🤣Naona wanasema kanyimwa uhuru wa kula mbususu, aisee mimi ninyime vyote usininyime gambe na kyuma, tutapigana ww3
Kama ngapi kwa makadirioHuenda jogoo wake alidonoa punje nyingi...
Jamaa kisaikolojia hayuko vizuri coz mara achome nyama ikiiva anaitoa then anaanza kushika shika na mikono..... Wakati wa kula mara achukuea ang'ate ARUDISHE ashike shike tena. All in all unaona hayuko sawa alafu ana ushamba flani hv...
Cjui amekuweje mnyakyusa huyu mbona anatudhalilisha sana but angekua msukuma it's ok
Ni msukuma lakini 😁🤐😁😅😅😅Angekuwa Msukuma, it’s okay?!!! Jamani, msituletee watu wa hovyo hivi. Huyu wenu wenyewe Wanyakyusa, mbaki nae huko huko.
Ila ni zakeWenye pesa hawajioneshi
We mtu kuanzia asubuhi mpk usiku
Yuko mtandaoni daily
Ova
Mawazo ya kimasikiniHuenda jogoo wake alidonoa punje nyingi...
MApunga Sesesiku hizi wengi wanaliwa
TRA watakuwa wanamfahamuSalute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona dogo kaniacha parefu sana kimaisha.
Kabla sijampa maua yake najua humu yupo au kuna jamaa zake wanaomjua nilitaka kujua jamaa anafanya biashara gani mpaka asumbue na magari makali na nyumba nzuri yaani nika kama hush pupp fulani mdogo natamani nijue background yake anipe na mimi hamasa nirudi Njombe na VW new model.
View attachment 2655836
Pesa majini, anatoa kafara za wanyama Kila mweziDa yani uwe na mihela vile halafu sio za masharti utaenjoy sana
Unabisha nini! Jamaa ni wa Mbeya Ipinda Kyela hukoNa wa Mbeya atutake radhi pia!
Za majiniii[emoji3][emoji3][emoji3]Ila ni zake
Uliwahi kufika kwao?Unabisha nini! Jamaa ni wa Mbeya Ipinda Kyela huko