Chief Justice, this is not fair! Lissu ameteseka sana gerezani, why postpone his case? Muamue moja mnaloona linamfaa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa.

Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa.

Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu Nyerere akaamua moja akamnyonga. Nanyi amua moja mlitimize.

Why postpone his case?
 
hakuna haja ya kua na kiherehere dhidi ya uhuru wa mahakama za Tanzania.

ulikua wapi kumshauri huyo mtuhumiwa unaedai anapewa mateso asifanye makosa yanayokiuka sheria na katiba ya nchi?
acheni unafiki nonsense jukwaani :NoGodNo:
 
1000011997.jpg
 
Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa.

Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa.

Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu Nyerere akaamua moja akamnyonga. Nanyi amua moja mlitimize.

Why postpone his case?
MAHAKAMA YA TANZAGIZA SIO MHIMILI UNAOJITEGEMEA.
TUJIFUNZE KUWA WAELEWA.
TUNAUMIA KWA SABABU HATUPO TAYARI KUUKUBALI UKWELI
 
Yaani wewe kweli unamuamini mazafaka Masaju? Yule ni judge kazi maalumu!
Masaju ni jaji wa wanamtandao kama ilivyokua kwa Chande, huyu ni zao la mwanamtandao JK kutoka enzi zile kama AG , ni vyema watu tupate katiba mpya nafasi ya CJ isiwe appointment bali merit based badala ya mtindo wa kufanya recycling ya takataka tukiamini tutapata end product bora bila proper vetting.

Hivyo ni kidampa anayepokea order kutoka kwa wanamtandao.

Wenzetu hizi nafasi hutangazwa wazi na usaili wake huwa wazi pia.
images - 2026-06-10T100937.554.jpeg

Nchi kama Kenya , judiciary huwezi kukuta inaburuzwa hivi.
 
Back
Top Bottom