MaelekezoJaji Mkuu akiongea utafikiri mtu kumbe ndiyo wale wale tu, mara kibao anakemea waendesha mashitaka kwenda kuegesha kesi mahakama ya Rufaa, lakini hachukui hatu kukomesha uhuni huu.
Yaani wewe kweli unamuamini mazafaka Masaju? Yule ni judge kazi maalumu!Jaji Mkuu akiongea utafikiri mtu kumbe ndiyo wale wale tu, mara kibao anakemea waendesha mashitaka kwenda kuegesha kesi mahakama ya Rufaa, lakini hachukui hatu kukomesha uhuni huu.
hakuna haja ya kua na kiherehere dhidi ya uhuru wa mahakama za Tanzania.Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa.
Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa.
Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu Nyerere akaamua moja akamnyonga. Nanyi amua moja mlitimize.
Why postpone his case?
Alafu eti ni msabato yule jamaa.Tuna the useless CJ since uhuru, akiongea anaonekana mwema lakini ni ndumila kuwili. He does not walk the talk.
hakuna haja ya kua na kiherehere dhidi ya uhuru wa mahakama za Tanzania.
ulikua wapi kumshauri huyo mtuhumiwa unaedai anapewa mateso asifanye makosa yanayokiuka sheria na katiba ya nchi?
acheni unafiki nonsense jukwaani
Unaingiliwa na Abdul ndiyo unajiona ni Princess nchi hii, mama'e zako.Kama una uchungu naye Basi nenda ukakaae naye ndani ya Kuta za gereza
MAHAKAMA YA TANZAGIZA SIO MHIMILI UNAOJITEGEMEA.Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa.
Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa.
Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu Nyerere akaamua moja akamnyonga. Nanyi amua moja mlitimize.
Why postpone his case?
MAMBO YA SERIKALI HAYANA DINI.Alafu eti ni msabato yule jamaa.
videmu vya abdulUnaingiliwa na Abdul ndiyo unajiona ni Princess nchi hii, mama'e zako.
Masaju ni jaji wa wanamtandao kama ilivyokua kwa Chande, huyu ni zao la mwanamtandao JK kutoka enzi zile kama AG , ni vyema watu tupate katiba mpya nafasi ya CJ isiwe appointment bali merit based badala ya mtindo wa kufanya recycling ya takataka tukiamini tutapata end product bora bila proper vetting.Yaani wewe kweli unamuamini mazafaka Masaju? Yule ni judge kazi maalumu!
Hata Hamas hawakuzaliwa wawe vile lakini uonevu ndiyo umewatengeneza hadi walivyo leo hii.Aina hii ya uonevu ndiyo inayozaa uasi kwenye jamii.
Siyo yeye tu, majaji wote ni kama mahouseboy wa Samia tu.Yaani wewe kweli unamuamini mazafaka Masaju? Yule ni judge kazi maalumu!