Uchaguzi 2020 Chief Kalumuna: Mgombea Ubunge pekee wa CHADEMA atayeitikisa CCM kwa Kanda ya Ziwa

Uchaguzi 2020 Chief Kalumuna: Mgombea Ubunge pekee wa CHADEMA atayeitikisa CCM kwa Kanda ya Ziwa

Mkuu huyo chief wako siyo "Mungu, siyo malaika na hajawa mtakatifu bado" TL.

Kwahiyo waache wapiga kura ndo wataamua maana ukiendelea na Imani yako ya kipagani juu ya huyo chief wako utakuja kulialia hapa Tena kuwa CHIEF KAIBIWA KURA.
 
Kama atatumia tiketi ya CDM ni ngumu sàna màana CCM ina mambo ya kutisha
 
Bukoba Mjini safari hii tunaenda kumsukuma mlevi, wananchi tutawaambia ukweli kuhusu hela za Tetemeko la ardhi. Hapa hii hoja CCM watabidi tuwape kichapo asubuhi saa nne.

Nadhani Bukoba mjini CHADEMA watashinda kwa 90% kama sio 100%
 
Mpaka mtakapo wapa wananchi hela zao zilizochangwa kwa ajili ya Tetemeko la ardhi. ..tofauti na hapo kichapo kiko pale pale.
Chadema kanda ya ziwa haipo.kuna mabaki machache sana ya kuyasukumizia kwenye mtaro.
 
Back
Top Bottom