Uchaguzi 2020 Chief Kalumuna: Mgombea Ubunge pekee wa CHADEMA atayeitikisa CCM kwa Kanda ya Ziwa

Kama hamuoni kuwa mji wenu una matatizo basi na mtabaki hivyo hivyo...tembea uone ndugu yangu. Kwa sasa manispaa nyingi zimepiga hatua ukilinganisha na bukoba. Karibu kila manispaa hapa nchini ina stendi mpya ya mabasi, masoko mapya, hospitali mpya, taa za barabarani, n.k . Nyie mna shida gani maana kila kitu ni cha zamani hapo kwenu
Nshomile ni much knowing hadi kero,kila wakipanga ajenda ya maendeleo utekelezaji unakuwa ni mgumu maana ni wavurugaji balaa.
 
Sioni Mgombea wakumsimamisha Chief Kalumuna Bukoba.

Kuhusu Ubunge chadema wameshapata Jimbo moja kutoka kagera moto wa chief ni hatari Leo nimeongea na DAS na DED wote wameshampitisha chief pia baraka zingine kazipata kutoka kwa Bashiru Ally .

Ccm Jipangeni tena 2025-2030 ila kuhusu ubunge chief anaongoza 90%

Huu mvuto wa chief nikama wa Mizimu mpaka mama yangu , mwenyekiti wa UwT kampitisha Chief, .

Chief kalumuna ni yeye 2020-2025.
 
Focus Muziki vipi nasikia naye ameuga juhudi au vipi?
 
Chief , Hana mpinzani huyo Focus yuko jimbo la Nkenge misenyi kwa kamala sio bukoba mjini.

Yaani Shelijei namkubari mzee wamipango kashamuapisha chifu.
 
Sisi tunasubiri Sanduku la Kura tuliambiwaga kuwa Lowassa anashinda Urais 2015
 
Halafu watu wa ilo jimbo wanajielewa ni kama nyamagana na musoma mjini uwa hawataki mazoea kwenye ubunge.
Hata jimbo la Biharamulo hakuna mazoea ya kiboya, tangu kuanza kwa vyama vingi hakuna chama/mbunge aliyehesabu miaka 10!

Awamu hii mbunge wa ccm hajafanya lolote, iwe jimboni wala hata kupiga chafya tu bungeni. Kwahiyo CHADEMA ishindwe yenyewe tu pale
 
Chadema mnamipango ya kuiba kura bukoba mjini.haki ya mungu patachimbika.
 
Sioni Mgombea wakumsimamisha Chief Kalumuna Bukoba.

Kuhusu Ubunge chadema wameshapata Jimbo moja kutoka kagera moto wa chief ni hatari Leo nimeongea na DAS na DED wote wameshampitisha chief pia baraka zingine kazipata kutoka kwa Bashiru Ally .

Ccm Jipangeni tena 2025-2030 ila kuhusu ubunge chief anaongoza 90%

Huu mvuto wa chief nikama wa Mizimu mpaka mama yangu , mwenyekiti wa UwT kampitisha Chief, .

Chief kalumuna ni yeye 2020-2025.
Hongereni sana wana Bukoba mjini mkimchagua chief mtaudhihirishia umma kuwa kweli nyie Nshomile wa kweli manake ningeshangaa sana watu wa Bukoba wakichagua ccm. Peopleeeees!...
 
Chief , Hana mpinzani huyo Focus yuko jimbo la Nkenge misenyi kwa kamala sio bukoba mjini.

Yaani Shelijei namkubari mzee wamipango kashamuapisha chifu.

Lutaraka pia anarudi Bukoba Vijijini
Focus hawezi shinda Nkenge ana scandals nyingi za uzinzi
Chief atashinda BK hasa kama atazichukua kata zenye watu wengi kama Kitendaguro na Rwamishenye
Nitapiga kura yangu kijijini kwa mama yangu Izimbya-Bukoba vijijini
 
Chief , Hana mpinzani huyo Focus yuko jimbo la Nkenge misenyi kwa kamala sio bukoba mjini.

Yaani Shelijei namkubari mzee wamipango kashamuapisha chifu.
OK, asante kwa kurekebisha! Ni kweli ameunga juhudi?
 
Kuhusu, Ubunge Bukoba Mjini , Sioni mtu wakumuangusha Chief Kalumuna Bukoba...huyu jamaa inasemekana kukubalika kwake kwa vijana wake kwa waume ni heshima aliyoijenga akiwa ccm na kuikuza akiwa chadema hivyo naomba afanye tu mikakati ya kwenda kula kiapo Dodoma ili alikwepeki.

"Chaupele Mpenzi haya yanayokusumbua kama ni maradhi mpelekee daktari Mimi siko tiyari kuliacha rumba kwa ajili yako"
 
Back
Top Bottom