Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Ataija kuba nke kifera Kawe Alummni ekya magamba ya majoka genshongo.
Chief lazima tumuwe obubunge ...abatamile ba ccm Bia yetu na NAWATAFUNA mwa mbanywa ekimpumu tibaina mahela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataija kuba nke kifera Kawe Alummni ekya magamba ya majoka genshongo.
Wewe hii ndio kazi yako sio?
Duuuu hii ni balaa kabisa
Tafadhali sana watani zangu fanyeni kila mnachoweza kumsaidia huyo chief ili cdm tuweze kuchukua hilo jimbo letu tenaHata akigombea kupitia Ccm lwakatare sahivi watu wamemchoka kwa kufukuzwa chadema ,pia kama unakumbukumbu vzr chief alivyohama kutoka ccm ndo alileta nguvu kubwa sana chadema bukoba mjini... Mimi naishi Bukoba Mjini nakuambia chief hadi mama yangu nimwenyrkiti wa UWT Bukoba ,lakini anamkubari chief sana.
Na huyu ndie alie mfanya Lwakatare akimbie ChademaNi meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc
Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake.
Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri aliyoipata akiwa CCM japo siku za nyuma Mwaka 2015 watu wachache ndani ya CCM walitaka kumharibia future yake ndipo alipokimbilia CHADEMA na hatimae akawa Meya.
Kwa jimbo la Bukoba Mjini bado ni sintofahamu kama upinzani utapoteza au la,maana jamaa ametia nia na ni asilimia kubwa anaweza kuchukua labda DJ zero akate jina lake maana hata kwenye uchaguzi ndani ya chama chao ngazi ya kanda alikuwa amemchapa fimbo za kutosha Wenje ila DJ zero kama kawaida akabadili gia angani jamaa akapolwa haki yake.
"Stay tuned BK is unpredictable"
Kagasheki yuko Uswizi huko kwenye lockdown ubunge asahau , kabla ajaenda uswizi tulimdanganya kuwa, atakuwa mbunge akatupa elfu 50 mimi na katibu wa ccm wa kata ya Bakoba ..lkn chief ndo mbunge.
Kwanza Rwakatare ni mgonjwaNa huyu ndie alie mfanya Lwakatare akimbie Chadema
Ukiona mtu anawadharau wanawake ujuwe ndugu zake wa kike wanamatatizo hawajielewi hivyo baada ya kumlea kaanza kuwadharau.Hivi mbona mnawadharau Sana wanawake?
Hivi huyu ndiye alikuwaga KCU enzi hizoNi meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc
Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake.
Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri aliyoipata akiwa CCM japo siku za nyuma Mwaka 2015 watu wachache ndani ya CCM walitaka kumharibia future yake ndipo alipokimbilia CHADEMA na hatimae akawa Meya.
Kwa jimbo la Bukoba Mjini bado ni sintofahamu kama upinzani utapoteza au la,maana jamaa ametia nia na ni asilimia kubwa anaweza kuchukua labda DJ zero akate jina lake maana hata kwenye uchaguzi ndani ya chama chao ngazi ya kanda alikuwa amemchapa fimbo za kutosha Wenje ila DJ zero kama kawaida akabadili gia angani jamaa akapolwa haki yake.
"Stay tuned BK is unpredictable"
Na huyu ndie alie mfanya Lwakatare akimbie Chadema
Ndo yule Jamco yule cameraman?Hapana,huyu ni kijana mdogo Sana around 30s ila ana kipawa cha uongozi
Sio kweli Nguvu ya pesa ya Lowasa ndio ilifanya hiyo kazi 2015 sasa hivi hamna cha kutikisa wala nini porojo tu KALUMNA akigombea kupitia chadema anashindwa alfajiri kabla ya jogoo kuwikapia kama unakumbukumbu vzr chief alivyohama kutoka ccm ndo alileta nguvu kubwa sana chadema bukoba mjini... Mimi naishi Bukoba Mjini nakuambia chief hadi mama yangu nimwenyrkiti wa UWT Bukoba ,lakini anamkubari chief sana.
Ahamie kwa wauji na watekaji ccmAhamie Ccm aachane na watu wa matusi Chadema
Sio kweli Nguvu ya pesa ya Lowasa ndio ilifanya hiyo kazi 2015 sasa hivi hamna cha kutikisa wala nini porojo tu KALUMNA akigombea kupitia chadema anashindwa alfajiri kabla ya jogoo kuwika
OOhh kumbe, sawa mkuu siasa za Bukoba ngumu sana halafu nasikitika sana kila nikija hakuna maendeleo mji uko vile vile yani.Hapana mkuu,amekuwa diwani miaka kumi sasa
Balozi kagasheki alikivuruga sana chama(ccm) hawa wasingetoboa cdm bkobaLwakatare sisi tulikuwa tumemkataa ,ndo maana alipogombea kura za maoni chadema aligaragazwa na kipara lakini akaiba kura.
Lwakatare amshukuru chief la sivyo ubunge angeusikia radion.
Unaushahidi Au unabwabwaja
subiri uchaguzi ufike sasa hivi hata kuteuliwa tu na chama chake bado anahangaika.Lowassa wa wapi? Unazungumzia wewe Bukoba awachaguagi chama bali mtu chief kaijenga bukoba maji yakumwaga balabala zinapitika mpaka jikoni. Amekusanya mapato vizuri.