Naona kampeni zishaanza..ukiwasikiliza watu humu JF unaweza pata pressure bure ila kwa ground mambo yako tofauti sana. Maendeleo mnayoyasema kayaleta ndani ya kipindi cha miaka mitano mbona kwa ground hayaonekani maana kwa mfano tu stend ya bukoba mjini bado ni ile ile sehm ndogo na mvua ikinyesha ni mashimo na matope matupu tena yale ya udongo mwekundu, wamekosa ata hela ya kweka vigae kwenye stend ambayo size yake haifiki ata nusu acre. Soko ni lile lile la zamani, chafu kama nini...kwa kwel maendeleo manispaa ya bukoba mjin bado sana...na kama mentality yenu ndo hii ya kusifiana kwenye ujinga msipobadilika mtabaki hivyo hivyo