Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magu nabatela empali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magu nabatela empali
Nshomile ni much knowing hadi kero,kila wakipanga ajenda ya maendeleo utekelezaji unakuwa ni mgumu maana ni wavurugaji balaa.Kama hamuoni kuwa mji wenu una matatizo basi na mtabaki hivyo hivyo...tembea uone ndugu yangu. Kwa sasa manispaa nyingi zimepiga hatua ukilinganisha na bukoba. Karibu kila manispaa hapa nchini ina stendi mpya ya mabasi, masoko mapya, hospitali mpya, taa za barabarani, n.k . Nyie mna shida gani maana kila kitu ni cha zamani hapo kwenu
Bojo kaziro ...mbwenuChief abantu bangi mbamwenda muno,,,,na amaendeleo agakozile ngazoka ...kandi taina bijumi ,,lazima chadema bamlabieo.
Focus Muziki vipi nasikia naye ameuga juhudi au vipi?Sioni Mgombea wakumsimamisha Chief Kalumuna Bukoba.
Kuhusu Ubunge chadema wameshapata Jimbo moja kutoka kagera moto wa chief ni hatari Leo nimeongea na DAS na DED wote wameshampitisha chief pia baraka zingine kazipata kutoka kwa Bashiru Ally .
Ccm Jipangeni tena 2025-2030 ila kuhusu ubunge chief anaongoza 90%
Huu mvuto wa chief nikama wa Mizimu mpaka mama yangu , mwenyekiti wa UwT kampitisha Chief, .
Chief kalumuna ni yeye 2020-2025.
Focus Muziki vipi nasikia naye ameuga juhudi au vipi?
Sisi tunasubiri Sanduku la Kura tuliambiwaga kuwa Lowassa anashinda Urais 2015
ndio nani huyo chief??
Hapana, lakini anazo kura tayari zisizowahusu nyinyi ndani ya box. Bado huelewi?Wewe unaishi bukoba?
Hata jimbo la Biharamulo hakuna mazoea ya kiboya, tangu kuanza kwa vyama vingi hakuna chama/mbunge aliyehesabu miaka 10!Halafu watu wa ilo jimbo wanajielewa ni kama nyamagana na musoma mjini uwa hawataki mazoea kwenye ubunge.
Hongereni sana wana Bukoba mjini mkimchagua chief mtaudhihirishia umma kuwa kweli nyie Nshomile wa kweli manake ningeshangaa sana watu wa Bukoba wakichagua ccm. Peopleeeees!...Sioni Mgombea wakumsimamisha Chief Kalumuna Bukoba.
Kuhusu Ubunge chadema wameshapata Jimbo moja kutoka kagera moto wa chief ni hatari Leo nimeongea na DAS na DED wote wameshampitisha chief pia baraka zingine kazipata kutoka kwa Bashiru Ally .
Ccm Jipangeni tena 2025-2030 ila kuhusu ubunge chief anaongoza 90%
Huu mvuto wa chief nikama wa Mizimu mpaka mama yangu , mwenyekiti wa UwT kampitisha Chief, .
Chief kalumuna ni yeye 2020-2025.
Chief , Hana mpinzani huyo Focus yuko jimbo la Nkenge misenyi kwa kamala sio bukoba mjini.
Yaani Shelijei namkubari mzee wamipango kashamuapisha chifu.
OK, asante kwa kurekebisha! Ni kweli ameunga juhudi?Chief , Hana mpinzani huyo Focus yuko jimbo la Nkenge misenyi kwa kamala sio bukoba mjini.
Yaani Shelijei namkubari mzee wamipango kashamuapisha chifu.