Chifu utajuaje kama malkia wako umemridhisha na wewe malkia utajuaje kama chifu ameridhika?

Lamomy

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2023
Posts
43,349
Reaction score
104,110
Machifu na Malkia

Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi?

Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo “Kimeumana” Mikito ipi ulipiga mpaka malkia akafika kilele cha utramu kisichoisha hamu?

Au malkia ishara zipi zinakuonyesha chifu leo kafurahia kisima cha maji yako? Je, ulimnywesha kwa kata au glass yenye usafi na manukato ya kuvutia huku ukimchombeza kwa buno?

Leo Machifu na malkia fungukeni uwanja ni wenu..!!
 
IMG-20260809-WA0509.jpg
 
IMG-20260812-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom