Nakukumbusha suala la katiba mpya mkuu! Zingatia sanaMachifu na Malkia
Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi?
Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo “Kimeumana” Mikito ipi ulipiga mpaka malkia akafika kilele cha utramu kisichoisha hamu?
Au malkia ishara zipi zinakuonyesha chifu leo kafurahia kisima cha maji yako? Je, ulimnywesha kwa kata au glass yenye usafi na manukato ya kuvutia huku ukimchombeza kwa buno?
Leo Machifu na malkia fungukeni uwanja ni wenu..!!
Chief cookChief General 😹
Igweeeeeeeeeeee chifu 😻Juzi kuna mchepuko wangu mmoja ndio nimegundua kumbe sikuwahi kuufikisha kileleni.
Hili nililigundua baada ya kumbadilishia kabisa style za ufanyaji na kufanikiwa kumfikisha. Vituko alivyovifanya wakati wa kufika vilinifanya nijue kumbe huyu siku zote alikuaga hafiki maana hajawahi kufanya hivyo hapo kabla.
Mpaka ameweza kupangilia maneno bebi basii anaridia rudia huyo si bado ni mzima😹😹😹 Mtauana sasa..!!
😅😅😅😅Mi pia babes 😘
Vipi chifu haungurumi huko?
Au sio ? Kwa hiyo unakumbuka kumbe?Katiba ipo pale pale lazima ipatikane mkuu..!!
App iko kwenye beta wanashindwa tu kutuambia vitu vingi viko brokenWakuu nje ya mada. Nashindwa ku reply mtu akini-quote kwenye hii app mpya. Nikienda kwenye notifications hukuna reply option mwenye kunisaidia
Nilikuaga nampiga kifo cha mende kawaida maana ana kamwili, of course akawa anajidai kuridhika. Ila baada ya kuufumua mfumo mzima na kuusuka upya ndio nikagundua kumbe hamna kitu nilikua nafanya 🙄Igweeeeeeeeeeee chifu 😻
Ulikuwa unampa style gani?