Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
- Thread starter
- #61
Alikuwa anakuigizia 😹😹Nilikuaga nampiga kifo cha mende kawaida maana ana kamwili, of course akawa anajidai kuridhika. Ila baada ya kuufumua mfumo mzima na kuusuka upya ndio nikagundua kumbe hamna kitu nilikua nafanya 🙄
Sasa hivi pesa hakuombi na ukitaka msosi anakuja kwa nauli yake?