Chifu utajuaje kama malkia wako umemridhisha na wewe malkia utajuaje kama chifu ameridhika?

Chifu utajuaje kama malkia wako umemridhisha na wewe malkia utajuaje kama chifu ameridhika?

sijui mi naonaga tu anaanza kuhema sana mara speed zaongezeka mara anatulia tuliiii kifuatacho atalala basi hata kama sijamaliza yanipasa nimuache asije akanifiaa....kwani hata kesho nayo si ni siku

kwanza too much ejaculation is harmful
Ooh.!! 😹
Hiyo inatokea mara moja au ni kila unapoingia mchezoni?
 
Ukiwa na njaa huwezi kuchagua chakula,kila chakula ukila siku hiyo utaenjoy na kushiba,

Ukiwa na genye lazima kale kamchezo kakufurahishe siku hiyo.

Au nasema uongo ndugu wananchi?
Jirani acha uongo basi..!! 😹
Kuna chakula ukikila unakula sababu usife njaa lakini kuna chakula unakula sababu una njaa na unakipenda..!!

Sasa sisi tunataka kujua je, malkia wako unamtosheleza chakula chako? Je, unatambua kwa ishara zipi?
 
Machifu na Malkia

Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi?

Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo ā€œKimeumanaā€ Mikito ipi ulipiga mpaka malkia akafika kilele cha utramu kisichoisha hamu?

Au malkia ishara zipi zinakuonyesha chifu leo kafurahia kisima cha maji yako? Je, ulimnywesha kwa kata au glass yenye usafi na manukato ya kuvutia huku ukimchombeza kwa buno?



Leo Machifu na malkia fungukeni uwanja ni wenu..!!
Akiridhika anapiga salute kavu

Nikiridhika nacheka sana.
 
Juzi kuna mchepuko wangu mmoja ndio nimegundua kumbe sikuwahi kuufikisha kileleni.

Hili nililigundua baada ya kumbadilishia kabisa style za ufanyaji na kufanikiwa kumfikisha. Vituko alivyovifanya wakati wa kufika vilinifanya nijue kumbe huyu siku zote alikuaga hafiki maana hajawahi kufanya hivyo hapo kabla.
 
Back
Top Bottom