Hata nawaza basi! Ndani ya dakika 5 nishapiga bao tatu nalala zangu nalalia mgongo naskilizia malalamiko tu....😹😹😹 Chifu hakuna unachokifanya..!!
Wisdom will kill you oneday 😂Hadi ambao hawana nguvu za kiume watasema mke/demu wake huwa anatetemeka.
Kugongewa hakuepukiki hata ufanye yote umpe hela anazotaka, usomeshe ndugu zake na kuwashika mkono, umpige bao tano za kuunganisha na kumdekeza ikifika mda wahuni watamla mnofu kwa mnofu.Utagongewa shauri yako..!! 😹
Huwenda nina matatizo koote nlikopita naiona halii hii....ama ni machaguzi yangu ila tabia zao zafanana ni mara chache sana kuimaliza round yanguOoh.!! 😹
Hiyo inatokea mara moja au ni kila unapoingia mchezoni?
Sio shida zako uko tayari kwa lolote 😹😹Kugongewa hakuepukiki hata ufanye yote umpe hela anazotaka, usomeshe ndugu zake na kuwashika mkono, umpige bao tano za kuunganisha na kumdekeza ikifika mda wahuni watamla mnofu kwa mnofu.
Wacha weeh..!! 😹Huwenda nina matatizo koote nlikopita naiona halii hii....ama ni machaguzi yangu ila tabia zao zafanana ni mara chache sana kuimaliza round yangu
Na hakika mtu analala mpaka anaota umuamshe kuvurugana nae naona sio uungwana
Japo naona sawa tu nafikiri nitafikisha miaka 70 nikiwa imara
Kanuni ni ile ileKugongewa hakuepukiki hata ufanye yote umpe hela anazotaka, usomeshe ndugu zake na kuwashika mkono, umpige bao tano za kuunganisha na kumdekeza ikifika mda wahuni watamla mnofu kwa mnofu.
Sema nini man...ulitaka nidanganye labda ndo uone sawa.....Wacha weeh..!! 😹
Sema chifu umejipakulia minyama had sio pouwa..!!