Chiko Ushindi tumemuona ni mchezaji wa kawaida mno wakati tuliambiwa atasimamisha nchi

Kama alivyo feli chama kule kwa waarabu
 
Kwaida yenu miaka yote. Lakini swali langu Chiko umemuonaje!?
Ukiuliza swali lenye mashiko nitakujibu! Mfano "unakionaje kikosi chenu cha Yanga msimu huu?" Ila ukiniuliza swali la kimbea kama hilo, kiukweli sina muda wa kujibu.
 
Ukiuliza swali lenye mashiko nitakujibu! Mfano "unakionaje kikosi chenu cha Yanga msimu huu?" Ila ukiniuliza swali la kimbea kama hilo, kiukweli sina muda wa kujibu.
Basi huna uwezo kwa ku analyze mambo. Mchezaji akicheza sekunde tu, utajua huyu kivuruge au la.

Kwa maneno yenu kusema mchezaji atasimamisha nchi, kumbe mchezaji mwenyewe ni Chico so sad.
 
natabiri kocha wa simba hamalizi msimu anatimuliwa
 
Oh!! Kumbe umetupita point kumi huku tunamchezo mkononi. Nilidhani unasema yanga imechukua kombe.

Halafu tunaongelea Chiko Ushindi, maoni yako ni yapi kwa kiwango chake!?
NA KWENYE HUO MCHEZO WAMEKUSHESHA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…