Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
Kama alivyo feli chama kule kwa waarabuKwanini uandikie mate wakati wino upo? Unataka statics akiwa Mazembe wakati tayari yupo Yanga. Subiri acheze mechi kadhaa Yanga kisha uje na statics akiwa Yanga. Haujui kuwa mchezaji anaweza kuwa na profile nzuri lakini akasajiliwa na akafeli. Kumbe bado mpira haujui