Chiko Ushindi tumemuona ni mchezaji wa kawaida mno wakati tuliambiwa atasimamisha nchi

Chiko Ushindi tumemuona ni mchezaji wa kawaida mno wakati tuliambiwa atasimamisha nchi

Kwanini uandikie mate wakati wino upo? Unataka statics akiwa Mazembe wakati tayari yupo Yanga. Subiri acheze mechi kadhaa Yanga kisha uje na statics akiwa Yanga. Haujui kuwa mchezaji anaweza kuwa na profile nzuri lakini akasajiliwa na akafeli. Kumbe bado mpira haujui
Kama alivyo feli chama kule kwa waarabu
 
Tukiweka statistics za chama akiwa berkane si itakua aibu hapa
Mzee weka hizo statistics. Porojo za vijiwe vya kahawa
Screenshot_20220116-114900.png
 
Kwaida yenu miaka yote. Lakini swali langu Chiko umemuonaje!?
Ukiuliza swali lenye mashiko nitakujibu! Mfano "unakionaje kikosi chenu cha Yanga msimu huu?" Ila ukiniuliza swali la kimbea kama hilo, kiukweli sina muda wa kujibu.
 
Ukiuliza swali lenye mashiko nitakujibu! Mfano "unakionaje kikosi chenu cha Yanga msimu huu?" Ila ukiniuliza swali la kimbea kama hilo, kiukweli sina muda wa kujibu.
Basi huna uwezo kwa ku analyze mambo. Mchezaji akicheza sekunde tu, utajua huyu kivuruge au la.

Kwa maneno yenu kusema mchezaji atasimamisha nchi, kumbe mchezaji mwenyewe ni Chico so sad.
 
Oh!! Kumbe umetupita point kumi huku tunamchezo mkononi. Nilidhani unasema yanga imechukua kombe.

Halafu tunaongelea Chiko Ushindi, maoni yako ni yapi kwa kiwango chake!?
NA KWENYE HUO MCHEZO WAMEKUSHESHA!!
IMG-20200405-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom