Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania.
Kukubalika na kuaminika kwa sera na mipango mikakati yake ya maendeleo, kumewaunganisha waTanzania, kuwaleta pamoja na kua kitu kimoja.
Ama kwa hakika bila CCM madhubuti, nchi itayumba.
Nia na dhamira njema za viongozi waandamizi wa chama na serikali, hasa kiongozi mkuu wa nchi Dr.Samia Suluhu Hassan, vimeendelea kuliunganisha taifa, kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu na kuifanya Tanzania madhubuti zaidi, inayoaminika na kuheshimika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kwa kiwango cha juu sana.
Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, ni muhimu sana wananchi wote, kufahamu na kuelewa kwamba, ushindi wa kishindo wa CCM, ni ushindi wa wananchi na waTanzania wote, dhidi ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, wenye nia ovu binafsi za kutugawanya kwa maslahi yao binafsi.
Kama Taifa inafaa kuungana,
na tuendelee kuiamini CCM na kuipa nafasi zaidi ya kuongoza, ili hatimae tuendelee kufurahia matunda ya dhamira na nia njema ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuulinda umoja wetu, na kwa gharama yoyote ile kuitunza amani na utangamano miongoni mwa waTanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.