Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania.

Kukubalika na kuaminika kwa sera na mipango mikakati yake ya maendeleo, kumewaunganisha waTanzania, kuwaleta pamoja na kua kitu kimoja.

Ama kwa hakika bila CCM madhubuti, nchi itayumba.
Nia na dhamira njema za viongozi waandamizi wa chama na serikali, hasa kiongozi mkuu wa nchi Dr.Samia Suluhu Hassan, vimeendelea kuliunganisha taifa, kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu na kuifanya Tanzania madhubuti zaidi, inayoaminika na kuheshimika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kwa kiwango cha juu sana.

Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, ni muhimu sana wananchi wote, kufahamu na kuelewa kwamba, ushindi wa kishindo wa CCM, ni ushindi wa wananchi na waTanzania wote, dhidi ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, wenye nia ovu binafsi za kutugawanya kwa maslahi yao binafsi.

Kama Taifa inafaa kuungana,
na tuendelee kuiamini CCM na kuipa nafasi zaidi ya kuongoza, ili hatimae tuendelee kufurahia matunda ya dhamira na nia njema ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuulinda umoja wetu, na kwa gharama yoyote ile kuitunza amani na utangamano miongoni mwa waTanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Umeongea ukweli mchungu ambao hata CHADEMA wanakubali kimoyo moyo .japo hadharani wanaweza kujifanya kukataa na kutukana matusi
Kwanini Kila thread nayokutag nilitaka response Yako upo kimya. Unakua mwepesi katika cheap issues? Wewe na hili Tlatlah mmeamua kuvaa kofia za ujinga? Kuna amani ipi kijana Mwenzio Abdul Nondo anateswa mateso makali namna hiyo? Ninyi mmezaliwa wanawake kweli au mmezaliwa na hayawani?
 
Hakuna ccm imara bila ya vyombo vya dola.
Gentleman,
dhumuni la chama cha siasa ni kushinda uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi..

Chimbuko la uimara wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini ni kutokana na umadhubuti na uimara wa CCM chini ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Umeongea ukweli mchungu ambao hata CHADEMA wanakubali kimoyo moyo .japo hadharani wanaweza kujifanya kukataa na kutukana matusi
uzuri ni kwamba,
hawana hoja wala fikra mpya,
na kwahivyo ni rahisi mno kuwadhibiti hasa wakiwa na mihemko..

wakianza kuporomosha matusi tu,
ujue pumzi yao imekata kabisa na hawana mawazo mapya tena..

na siku hizi wana mawenge mno
 
Gentleman,
dhumuni la chama cha siasa ni kushinda uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi..

Chimbuko la uimara wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini ni kutokana na umadhubuti na uimara wa CCM chini ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
Kwahyo unataka kutuambia ccm sio imara ila uimara wake ni kubebwa na vyombo vya dola?
 
Amani huku wengine wanatupwa Coco beach mbona hatujawahi kusikia nyie chawa mmetekwa ? Pumbav wakubwa inzi wa vyoo vya ikulu..
Relax gentleman,
punguza mihemko..

masuala yako binafsi yashughulikie kibinafsi.

Acha tamaa,
yaan ufumaniwe na mke wa mtu kwasabb ya tamaa zako binafsi halafu uje eti ng'weee ng'weee ng'weee halafu sijui unasingizia ni nini huko...

Tanzania ni kuna amani na utulivu wa kutosha zaidi ya karibu nchi zote Africa 🐒
 
Kwanini Kila thread nayokutag nilitaka response Yako upo kimya. Unakua mwepesi katika cheap issues? Wewe na hili Tlatlah mmeamua kuvaa kofia za ujinga? Kuna amani ipi kijana Mwenzio Abdul Nondo anateswa mateso makali namna hiyo? Ninyi mmezaliwa wanawake kweli au mmezaliwa na hayawani?
Gentleman,
yaan kwa tamaa zako ufumaniwe na mke wa mtu halafu uje kumbwelambwela hapa na kutafuta huruma mitandaoni..

Tanzania itaendelea kuwekeza katika Amani ili hatimae wananchi wote wafanye kazi na majukumu yao kwa uhakika wa usalama, bila mbambamba ya mtu yeyote 🐒
 
Kwahyo unataka kutuambia ccm sio imara ila uimara wake ni kubebwa na vyombo vya dola?
kadiri siku zinavyokwenda CCM inazidi kujiimarisha na kujizatiti kushinda uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
Kwanini Kila thread nayokutag nilitaka response Yako upo kimya. Unakua mwepesi katika cheap issues? Wewe na hili Tlatlah mmeamua kuvaa kofia za ujinga? Kuna amani ipi kijana Mwenzio Abdul Nondo anateswa mateso makali namna hiyo? Ninyi mmezaliwa wanawake kweli au mmezaliwa na hayawani?
Acheni drama zenu na michezo ya kuigiza .watekaji gani hao wenye huruma hadi ya kuweza kumfungua kamba na kitambaa usoni na kusema nenda nyumbani moja kwa moja😀😀
 
Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania.

Kukubalika na kuaminika kwa sera na mipango mikakati yake ya maendeleo, kumewaunganisha waTanzania, kuwaleta pamoja na kua kitu kimoja.

Ama kwa hakika bila CCM madhubuti, nchi itayumba.
Nia na dhamira njema za viongozi waandamizi wa chama na serikali, hasa kiongozi mkuu wa nchi Dr.Samia Suluhu Hassan, vimeendelea kuliunganisha taifa, kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu na kuifanya Tanzania madhubuti zaidi, inayoaminika na kuheshimika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kwa kiwango cha juu sana.

Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, ni muhimu sana wananchi wote, kufahamu na kuelewa kwamba, ushindi wa kishindo wa CCM, ni ushindi wa wananchi na waTanzania wote, dhidi ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, wenye nia ovu binafsi za kutugawanya kwa maslahi yao binafsi.

Kama Taifa inafaa kuungana,
na tuendelee kuiamini CCM na kuipa nafasi zaidi ya kuongoza, ili hatimae tuendelee kufurahia matunda ya dhamira na nia njema ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuulinda umoja wetu, na kwa gharama yoyote ile kuitunza amani na utangamano miongoni mwa waTanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Chimbuko la Amani na utulivu ni Uzezeta wa Watanzania.
 
Back
Top Bottom