Chimbuko la CHADEMA na Viongozi wake

Chimbuko la CHADEMA na Viongozi wake

Mr Pixel3a

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
5,710
Reaction score
8,579
Nitumie fursa hii kuwapa wasiojua utawala wa CHADEMA ulivyoanza kabla ya Mbowe na uhusiano wa viongozi wake.

Mtei
Ni muanzilishi na Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, alikuwa gavana mkuu wa benki kuu (BOT) na Waziri wa Fedha kipindi cha Nyerere.

Bob Makani
Huyu alikuwa mwenyekiti wa pili wa CHADEMA ambaye pia aliwahi kuwa msaidizi wa Mtei alipokuwa gavana msaidizi wa benki kuu (BOT). Aidha marehemu Bob Makani alimuoa dada yake Mtei ambaye alizaa nae watoto kadhaa.

Mbowe
Huyu aliwahi kufanya kazi benki kuu pamoja na Mtei na Bob Makani, hivyo walianza kufahamiana huko.

Mbowe baadae alimuoa mtoto wa Mtei ambaye amezaa nae watoto kadhaa. Hii ilichangia pakubwa Mbowe kupata uenyekiti wa kwanza wa BAVICHA kabla ya kuwa mwenyekiti wa 3 wa CHADEMA. Ili kuhakikisha Mbowe anakuwa mwenyekiti wa milele, CHADEMA kwa amri ya Mtei (Mkwe wa Mbowe) ilibadilisha katiba yake mwaka 2002 kutoka kwenye ukomo wa kugombea mihula 2 tu kwa mwenyekiti mpk bila ukomo.

Ndoa ya Mbowe na mtoto wa Mtei iliingia kwenye misukosuko pale ambapo Mbowe alianzisha uhusiano wa siri na dada mmoja ambaye baadae alimhonga ubunge wa viti maalum, aitwaye Grace Mukya na kuzaa naye mtoto mmoja wa kike, lkn kuishi naye km nyumba ndogo.

Mbowe na Mtei walimshawishi Dk. Warid Aman Kaborou kuhama kutoka Marekani kuja Tanzania ambaye alikuwa mhadhiri wa muda mrefu kwenye vyuo mbalimbali vya USA.

Walimuahidi kumpa fedha taslim, gharama za kuhama yeye na familia yake mpk Tanzania lkn kumfanya katibu mkuu wa CHADEMA, walfanikiwa na Dk. Kaborou akawa katibu mkuu wa CHADEMA, walimnunua.

Ni wazi kabisa uongozi wa CHADEMA ni wa kiukoo.
 
Bob Makani.
Huyu alikuwa mwenyekiti wa pili wa CDM ambaye pia aliwahi kuwa msaidizi wa Mtei alipokuwa gavana msaidizi wa benki kuu (BOT). Aidha marehemu Bob Makani alimuoa dada yake Mtei ambaye alizaa nae watoto kadhaa
Mr Pixel3a hapo umetudanganya. Mke wa Makani anaitwa Vickie Ambwene Kakuyu. Ndiye mama yake Prof, Dr. Julie Makani ( mke wa Abdul Simba). Watoto wake wengine ni Grace Makani (Mrs. Tarimo), Tume Anthony Makani na Richard Kakuyu Makani a.k.a Kay. Nimeishi nao Sea View na nimeishi nao London nawajua vyema.
 
Kiuhalisia;Ilikuwa ni ndoa ya Sukuma na Chagga katika kutafuta Uongozi mkuu wa mataifa ya makabila Tanzania.

Ikumbukwe, makabila mengi yanapishana/ yanagawiana vyeo kwa kutumia kabila la mchanga wa macho, yaani Chama au Vyama kama itakupendeza. Yaani kupishana kula kula keki!

Wanoelewa haya wanaelewa. Wasukuma walikuwa wachukue wakati wa Ben R.I.P lakini haikuwa rahisi kwani vuta nikuvute ilikuwa kali kati ya kusini na kaskazini, kwamba, kaskazini wamesha kula keki na wanataka kulamba na icing yake, halikukubalika. Sio hivyo tuu, hata yale makabila ya kidini nayo ndani, kwa hivyo walioandaliwa baada ya kusini-waswahili wa mwambao-halafu ndie wasukuma.....halafu wagogo, halafu ndio kina Lissu.

Ukibisha kataa, poa tu-Kabila kuu ndio lenye maamuzi, yaani Kabila la majumuisho ya makabila.

Tutaonaa 2025....45 back to North.

NB: Vyovyote utakavyochukulia mtazamo wangu, kumbuka haya yanaoendelea sasa hivi, hayakuwa ya kimipango mahususi.
Kitaeleweka.
 
Nitumie fursa hii kuwapa wasiojua utawala wa CHADEMA ulivyoanza kabla ya Mbowe na uhusiano wa viongozi wake.

Mtei
Ni muanzilishi na Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, alikuwa gavana mkuu wa benki kuu (BOT) na Waziri wa Fedha kipindi cha Nyerere.

Bob Makani
Huyu alikuwa mwenyekiti wa pili wa CHADEMA ambaye pia aliwahi kuwa msaidizi wa Mtei alipokuwa gavana msaidizi wa benki kuu (BOT). Aidha marehemu Bob Makani alimuoa dada yake Mtei ambaye alizaa nae watoto kadhaa.

Mbowe
Huyu aliwahi kufanya kazi benki kuu pamoja na Mtei na Bob Makani, hivyo walianza kufahamiana huko.

Mbowe baadae alimuoa mtoto wa Mtei ambaye amezaa nae watoto kadhaa. Hii ilichangia pakubwa Mbowe kupata uenyekiti wa kwanza wa BAVICHA kabla ya kuwa mwenyekiti wa 3 wa CHADEMA. Ili kuhakikisha Mbowe anakuwa mwenyekiti wa milele, CHADEMA kwa amri ya Mtei (Mkwe wa Mbowe) ilibadilisha katiba yake mwaka 2002 kutoka kwenye ukomo wa kugombea mihula 2 tu kwa mwenyekiti mpk bila ukomo.

Ndoa ya Mbowe na mtoto wa Mtei iliingia kwenye misukosuko pale ambapo Mbowe alianzisha uhusiano wa siri na dada mmoja ambaye baadae alimhonga ubunge wa viti maalum, aitwaye Grace Mukya na kuzaa naye mtoto mmoja wa kike, lkn kuishi naye km nyumba ndogo.

Mbowe na Mtei walimshawishi Dk. Warid Aman Kaborou kuhama kutoka Marekani kuja Tanzania ambaye alikuwa mhadhiri wa muda mrefu kwenye vyuo mbalimbali vya USA.

Walimuahidi kumpa fedha taslim, gharama za kuhama yeye na familia yake mpk Tanzania lkn kumfanya katibu mkuu wa CHADEMA, walfanikiwa na Dk. Kaborou akawa katibu mkuu wa CHADEMA, walimnunua.

Ni wazi kabisa uongozi wa CHADEMA ni wa kiukoo.
Bora kabisa uongozi wa CDM kuliko mfumo wa uongozi ndani ya ccm...!!
Fuatilieni data vizuri
 
Ohooo Sasa tumeelewa,ili uwe mwenyekiti pale cdm aidha uoe ukoo wa mzee mtei ,au uwe mchaggga .kinyume na hapo unajitakia balaaa.
 
Back
Top Bottom