Chimbuko la CHADEMA na Viongozi wake

Chimbuko la CHADEMA na Viongozi wake

Karekebishe historia ya uwongo ya Bob Makani, je ulikuwa na haja gani kuipa maneno yasiyo ya kweli.?
Ebu rudia Tena kusoma kumhusu Bob Makani nadhan Kuna points umeruka.una uhakika alikua na mke mmoja .mm naamini vyanzo vya uhakika
 
Mr Pixel3a hapo umetudanganya. Mke wa Makani anaitwa Vickie Ambwene Kakuyu. Ndiye mama yake Prof, Dr. Julie Makani ( mke wa Abdul Simba). Watoto wake wengine ni Grace Makani (Mrs. Tarimo), Tume Anthony Makani na Richard Kakuyu Makani a.k.a Kay. Nimeishi nao Sea View na nimeishi nao London nawajua vyema.
Haya sasa, sijui atasemaje!

Lakini nadhani kuna aliyosema ukweli.

Hiki chama cha CHADEMA kimefikia ukingoni, ni lazima kiwe chama cha wote siyo cha kundi maalum.
Historia yake siyo ya kujivunia sana.
 
Ebu rudia Tena kusoma kumhusu Bob Makani nadhan Kuna points umeruka.una uhakika alikua na mke mmoja .mm naamini vyanzo vya uhakika
Hapana.
Wewe ndiye hukufafanua vizuri kwenye uandishi wako, nadhani kutokana na msukumo wa kupotosha zaidi.
Hukusema kuwa walikuwepo watoto wengine wa Bob.
 
Dhumuni ni kujua viongozi wa cdm na muunganiko wao kuizunguka CDM ,kuhus watot ,michepuko haina tija🙏
 
Dhumuni ni kujua viongozi wa cdm na muunganiko wao kuizunguka CDM ,kuhus watot ,michepuko haina tija
Mada yako itakuwa imefaidika zaidi na hayo aliyoyaongeza huyo aliyeweka ufafanuzi zaidi kuhusu watoto, hata kama siyo lengo la mada yako.
 
Yah nmekuelewa kimantiki kwasababu hatuwezi jua M/kt ajae anaweza kuwa Kati ya hao watoto ,Thanks GT
 
Nitumie fursa hii kuwapa wasiojua utawala wa CHADEMA ulivyoanza kabla ya Mbowe na uhusiano wa viongozi wake.

Mtei
Ni muanzilishi na Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, alikuwa gavana mkuu wa benki kuu (BOT) na Waziri wa Fedha kipindi cha Nyerere.

Bob Makani
Huyu alikuwa mwenyekiti wa pili wa CHADEMA ambaye pia aliwahi kuwa msaidizi wa Mtei alipokuwa gavana msaidizi wa benki kuu (BOT). Aidha marehemu Bob Makani alimuoa dada yake Mtei ambaye alizaa nae watoto kadhaa.

Mbowe
Huyu aliwahi kufanya kazi benki kuu pamoja na Mtei na Bob Makani, hivyo walianza kufahamiana huko.

Mbowe baadae alimuoa mtoto wa Mtei ambaye amezaa nae watoto kadhaa. Hii ilichangia pakubwa Mbowe kupata uenyekiti wa kwanza wa BAVICHA kabla ya kuwa mwenyekiti wa 3 wa CHADEMA. Ili kuhakikisha Mbowe anakuwa mwenyekiti wa milele, CHADEMA kwa amri ya Mtei (Mkwe wa Mbowe) ilibadilisha katiba yake mwaka 2002 kutoka kwenye ukomo wa kugombea mihula 2 tu kwa mwenyekiti mpk bila ukomo.

Ndoa ya Mbowe na mtoto wa Mtei iliingia kwenye misukosuko pale ambapo Mbowe alianzisha uhusiano wa siri na dada mmoja ambaye baadae alimhonga ubunge wa viti maalum, aitwaye Grace Mukya na kuzaa naye mtoto mmoja wa kike, lkn kuishi naye km nyumba ndogo.

Mbowe na Mtei walimshawishi Dk. Warid Aman Kaborou kuhama kutoka Marekani kuja Tanzania ambaye alikuwa mhadhiri wa muda mrefu kwenye vyuo mbalimbali vya USA.

Walimuahidi kumpa fedha taslim, gharama za kuhama yeye na familia yake mpk Tanzania lkn kumfanya katibu mkuu wa CHADEMA, walfanikiwa na Dk. Kaborou akawa katibu mkuu wa CHADEMA, walimnunua.

Ni wazi kabisa uongozi wa CHADEMA ni wa kiukoo.
tumechoshwa na habari za mbowe kila siku, huna issue nyingine? simple minds discuss people....grow your mind.
you are so disgusting
 
tumechoshwa na habari za mbowe kila siku, huna issue nyingine? simple minds discuss people....grow your minds.
you are so disgusting
Baada ya kumezeshwa beyond M/kt wa Sasa hakuna mwenye uwezo wakuongoza cdm
 
Haya sasa, sijui atasemaje!

Lakini nadhani kuna aliyosema ukweli.

Hiki chama cha CHADEMA kimefikia ukingoni, ni lazima kiwe chama cha wote siyo cha kundi maalum.
Historia yake siyo ya kujivunia sana.
Hamna mtoto yeyote wa Bob Makani anayeshiriki siasa. Julie ni professor mbobezi wa magonjwa ya damu. Grace ana biashara zake kubwa tu. Tume ana kampuni yake ya clearing and forwarding. Na Kay Richard yeye ni mwajiriwa.
 
Nitumie fursa hii kuwapa wasiojua utawala wa CHADEMA ulivyoanza kabla ya Mbowe na uhusiano wa viongozi wake.

Mtei
Ni muanzilishi na Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, alikuwa gavana mkuu wa benki kuu (BOT) na Waziri wa Fedha kipindi cha Nyerere.

Bob Makani
Huyu alikuwa mwenyekiti wa pili wa CHADEMA ambaye pia aliwahi kuwa msaidizi wa Mtei alipokuwa gavana msaidizi wa benki kuu (BOT). Aidha marehemu Bob Makani alimuoa dada yake Mtei ambaye alizaa nae watoto kadhaa.

Mbowe
Huyu aliwahi kufanya kazi benki kuu pamoja na Mtei na Bob Makani, hivyo walianza kufahamiana huko.

Mbowe baadae alimuoa mtoto wa Mtei ambaye amezaa nae watoto kadhaa. Hii ilichangia pakubwa Mbowe kupata uenyekiti wa kwanza wa BAVICHA kabla ya kuwa mwenyekiti wa 3 wa CHADEMA. Ili kuhakikisha Mbowe anakuwa mwenyekiti wa milele, CHADEMA kwa amri ya Mtei (Mkwe wa Mbowe) ilibadilisha katiba yake mwaka 2002 kutoka kwenye ukomo wa kugombea mihula 2 tu kwa mwenyekiti mpk bila ukomo.

Ndoa ya Mbowe na mtoto wa Mtei iliingia kwenye misukosuko pale ambapo Mbowe alianzisha uhusiano wa siri na dada mmoja ambaye baadae alimhonga ubunge wa viti maalum, aitwaye Grace Mukya na kuzaa naye mtoto mmoja wa kike, lkn kuishi naye km nyumba ndogo.

Mbowe na Mtei walimshawishi Dk. Warid Aman Kaborou kuhama kutoka Marekani kuja Tanzania ambaye alikuwa mhadhiri wa muda mrefu kwenye vyuo mbalimbali vya USA.

Walimuahidi kumpa fedha taslim, gharama za kuhama yeye na familia yake mpk Tanzania lkn kumfanya katibu mkuu wa CHADEMA, walfanikiwa na Dk. Kaborou akawa katibu mkuu wa CHADEMA, walimnunua.

Ni wazi kabisa uongozi wa CHADEMA ni wa kiukoo.
Wewe umetokea wapi tena?

Hiki ulichoandika ndiyo tukiite kitu gani kweli?

Ni makala? Ni biography? Ni nini sasa?
 
Unaonekana kabisa unasukumwa na roho ya ukahaba , inaonekana kbs huna unachojua kuhusu chadema zaidi ya kuhadithiwa na matanga wenzio...ukiachwa , achika bibie, wivu wa kisengelema utakuua ... Usipambane na chadema kbs, otherwise unatafuta kufa, wenzio woote waliokuwa wanaelekea kufa basi walianzisha vita na dude liitwalo chadema, sasa nakuuliza weee bibie umechoka kujipanga pale buguruni na uwanja wa fisi????
 
Makasiriko ya nn Jenga hoja ,mm siogopi kufa ata Mtume alikufa.
 
Back
Top Bottom