Chimbuko la CHADEMA na Viongozi wake

Makasiriko ya nn Jenga hoja ,mm siogopi kufa ata Mtume alikufa.
Ukiachwa basi achika bibie, weee kila kukicha mbowe, Mbowe, huna kz ya kufanya???? Unaanzisha story za kisengelema sengelema lazima turudishe kwenye mstari bibie...kubali kuachwa bhana....
 
Ebu rudia Tena kusoma kumhusu Bob Makani nadhan Kuna points umeruka.una uhakika alikua na mke mmoja .mm naamini vyanzo vya uhakika

..Mzee Makani alikuwa na mke mmoja.

..Na mama huyo kabila lake ni Mnyakyusa toka Mbeya.
 
Hamna mtoto yeyote wa Bob Makani anayeshiriki siasa. Julie ni professor mbobezi wa magonjwa ya damu. Grace ana biashara zake kubwa tu. Tume ana kampuni yake ya clearing and forwarding. Na Kay Richard yeye ni mwajiriwa.
Hao wawili wenye biashara zao, CHAMA chao (CHADEMA) kikishika hatamu, hapo ndipo utakapoanzia kuja kwamba siasa haina ufundi.
 
Tueleze pia uhusiano wako na bosi wako, yale mahusiano yenu ya kisodoma mnaendelea au yalikoma baada habari kumfikia mkeo kuwa unaingiliwa kinyume? Usijafanye unawajua saana watu na maisha yao binafsi ilhali wewe mwenyewe ni mchicha mwiba. Tuendelee kuyamwaga humu?
 
Simkubali Mbowe lakini sijaona haja ya kuweka mambo yake ya familia. Karibia wanaume wote wa Kitanzania waliopo kwenye ndoa wana michepuko.
 
Simkubali Mbowe lakini sijaona haja ya kuweka mambo yake ya familia. Karibia wanaume wote wa Kitanzania waliopo kwenye ndoa wana michepuko.
Una uelewa mdogo ,ivi kaongelewa mtu ama CDM?
 
Imekuuma chomoa
 
We na ukoo wako anzisheni chama chenu kama ni rahisi hivyo
 
Kwa hiyo bodaboda na vicoba tukutane wapi tuwe na katiba yetu?
 
Ni suala la viwango vya ujuha mnazidiana, labda una hoja ila tukuulize dhamira ya hoja yako maana kwa mwenye tafakuri kuna masuala atapenda kuyajua ili dhamira yako ipate mantiki. Maana kwenye kilele cha fantasy ya ulevi wako ulishindwa kulitambua.

Tuonyeshe jinsi ambavyo CHADEMA wanachagua uongozi wao, prove kuwa wajumbe wa uchaguzi wanakuwa influenced na hiyo familia unayoota.

Tuonyeshe Mbowe amechaguliwa kikatiba na wanachama(wajumbe) halali au anachaguliwa na wajumbe wa ukoo wa Mtei?

Tuonyeshe kuwa ni familia ya ukoo wa Mtei ndio iliyoinfuence mabadiliko ya uongozi wa uenyekiti siyo chama kwa manufaa ya CHADEMA.

Tuonyeshe jinsi uongozi wa Mbowe ulivyoiharibu CHADEMA kama wale viongozi wenu Mrema alivyoipeleka kaburini NCCR na Lipumba CUF kiasi kwamba CHADEMA Imekuwa siyo mwamba wa siasa nchini.

Lakini CHADEMA kuwa ni imara chini ya Mbowe hadi uvccm mnapata tumbo la uharo kwa ajili yake, mnaumizwa nae tofauti na Lipumba na Mrema basi jua huna constructive argument .

Na kwa sababu hiyo natangaza kuwa mtoa hoja ni bonge la pumbavu la CCM, cheap propagandist otherwise nijibu kwa ufasaha
 
Yes 🤚
 
Ukweli mtupu
Mna shida sana kuishi kwenye lindi la unafiki, mlitaka kiwe chama shirikishi kama vile vyama vyenu, waajiri wenu wanaowapa buku 8 kushinda kuiponda CHADEMA wanaijua ndio maana wakafanya maridhiano nao wakijua nguvu ya Mbowe. Na hiyo ni baada ya kumbambikia kesi ya ugaidi ikabuma.

Hakuna kitu kibaya kama kuwa dhaifu kichwani ukatumika kijinga
 
Ebu rudia Tena kusoma kumhusu Bob Makani nadhan Kuna points umeruka.una uhakika alikua na mke mmoja .mm naamini vyanzo vya uhakika
Acha story zako eti vyanzo vya uhakika, sijui kama una umri mdogo au haukuwa 'town' miaka hiyo. Kama ulikuwa town tangu enzi hizo hauwezi kulishwa matango pori kirahisi na ukaja hapa kufungua uzi huku ukitiririka kwa data za uongo.
Kwa waliokulia Upanga/Sea View au Oyster bay familia ya Makani wanaifahamu vizuri hivyo rudi kwenye vyanzo vyako ukawaeleze ya kuwa uongo waliokulisha umebainika.
 
Kwahy unabisha wenyeviti wa CDM sio ukoo mmoja?
 
Hoja ,wenyekiti wametoka ukoo mmoja ama uKoo tofauti?
 
Kwahy unabisha wenyeviti wa CDM sio ukoo mmoja?
Siyo tu kwamba ninabisha bali ukweli ndiyo huo, Bob Makani hajawahi kuwa ukoo mmoja na Mtei, ni dhahiri hauwafahamu unategemea habari za kuhadithiwa na hapo umeingizwa chaka.
 
Siyo tu kwamba ninabisha bali ukweli ndiyo huo, Bob Makani hajawahi kuwa ukoo mmoja na Mtei, ni dhahiri hauwafahamu unategemea habari za kuhadithiwa na hapo umeingizwa chaka.
Amini unachoamini ukweli ndio huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…