Chimbuko la CHADEMA na Viongozi wake

Hoja ,wenyekiti wametoka ukoo mmoja ama uKoo tofauti?
Umeelewa hoja yangu maana CCM kuna Raisi wa kisiwa hapo na sasa mtoto wake pia ni raisi husemi.

Kuna watoto baba zao walikuwa viongozi na wao pia ni viongozi.

Kama una chembe ya akili kichwani nijibu walichaguliwa na wajumbe wa ukoo wa Mtei?

Ukishindwa kujibu kifasaha jua ni pumbavu lingine la CCM kazini. Umefail
 
Mbona unakuja na ajenda nyingi. Kama historia zungumia historia, kama ni Korosho zako na husda kwa CHADEMA uje nalo tujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…