Unachagua wa kujibu ?Narudia tena wakristo mumeshindwa kujibu hili swali?
We kweli nikikuita mjinga sijakoseaUnachagua wa kujibu ?
Jibu hili hapa
muhammad akasema aletewa kitabu kinaitwa torah akaweka mkono juu ya kitabu akasema nakiamini na naamini alie kidhihirisha
...........Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee ...... Sunan Abi Dawud 4449
Akili unatakiwa utumie , biblia ni mkusanyiko wa vitabu , ambavyo ni agano la kale Torah ikiwepo na agano jipya injili ikiwepoWe kweli nikikuita mjinga sijakosea
mm nimeuliza swali nimesema mktisto yyte ajibu hlf jibu lko ata haliendani na swali nilouliza ebu niulize mm ilo swali nikufundishe jinsi ya kujibu
Huyo Allah unaweza kuthibitisha yupo kweli na si hadithi za watu tu?Kwanza usiende huko mbali. Huko mwanzo nimekuelezea juu ya uchawi na kuonyesha utofauti kati ya uchawi na usio kuwa uchawi. Soma uelewe
Anasema Allah aliye juu :
77. Akasema Musa: Mnasema hivi juu ya Haki ilipo kujieni? Huu ni uchawi? Na wachawi hawafanikiwi! (Yunus :77)
Safi kabisa,thibitisha kama kuna kitu cha uongo nimeandika. Naona unazikimbia hoja zangu hukosoi hoja.
Sasa kama umeshindwa tu kuelewa maana ya uchawi na umeshindwa kukosoa na umeshindwa kuonyesha ya kuwa Uchawi haupo bali ni hadithi tu. Huu ni utoto unaleta,na usikimbie maswali.
Kwenye ujumla unapata matawi na nimekuwekea wazi kila kitu unashindwa kuvunja hoja unaruka ruka.
We jibu nilouliza usilete porojo nyingiAkili unatakiwa utumie , biblia ni mkusanyiko wa vitabu , ambavyo ni agano la kale Torah ikiwepo na agano jipya injili ikiwepo
Sasa kama Muhammad aliletewa moja ya vitabu wanavyo tumia wakristo na wayahud akasema anakiamin ,wewe nani unaanza kuuliza maswali
Mpinge kwanza Muhammad kuamini kitabu Cha Torah ndio nikujibuWe jibu nilouliza usilete porojo nyingi
toa verse kwnye bible kua aya hii mungu anasema hivi na aya hii mungu anasema hivi usianze kuleta porojo nyingiiii
m nimeuliza maswali mawili tuu naona unababaika sana kuyajibu
Nimekwambia niulize mm kma sitokujibu straight forward
usilete porojo nyingi leta verse tu tuone kma kwenye iyo bible yenu itajibu ayo maswali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kijana mbona tabu ww hebu jibu ayo maswali mawili tu niloulizaMpinge kwanza Muhammad kuamini kitabu Cha Torah ndio nikujibu
muhammad akasema aletewa kitabu kinaitwa torah akaweka mkono juu ya kitabu akasema nakiamini na naamini alie kidhihirisha
...........Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee ...... Sunan Abi Dawud 4449
Nilitaka uishie hapa, lakini nimeona endelea kuwafundisha jinsi dini yao ilivyo.Unajiuliza Mungu anatakiwa apende watu wanaojiepusha na dhambi , lakini Allah anasema usipo fanya dhambi anakuua
Na Allah anasema tena yeye ndio anapotosha watu na anawafanya mioyo Yao mizito
Sasa shetani anafanya kazi gani?
Nakujua ww huna hoja ndo mna stki kujadiliana na wwMpinge kwanza Muhammad kuamini kitabu Cha Torah ndio nikujibu
muhammad akasema aletewa kitabu kinaitwa torah akaweka mkono juu ya kitabu akasema nakiamini na naamini alie kidhihirisha
...........Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee ...... Sunan Abi Dawud 4449
Nimekujibu vizuri kabisa siitaji Kuweka verse biblia ina kitabu ndani yake ambacho Muhammad alisema anakiamin na anaamini Mungu wa kitabu hicho , je unapingana nae?Kijana mbona tabu ww hebu jibu ayo maswali mawili tu nilouliza
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mimi sijaona jibu ya maswali nilouliza ww ndo ulivo ukiulizwa maswali unajipitisha huku na huku embu nioneshe ilo jibu lko [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nimekujibu vizuri kabisa siitaji Kuweka verse biblia ina kitabu ndani yake ambacho Muhammad alisema anakiamin na anaamini Mungu wa kitabu hicho , je unapingana nae?
muhammad akasema aletewa kitabu kinaitwa torah akaweka mkono juu ya kitabu akasema nakiamini na naamini alie kidhihirisha
...........Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee ...... Sunan Abi Dawud 4449
Acha kujichetua kijana kwahiyo hapo ndiyo kuna kufukiliwa kaburi na ndiyo kuna aya za Qur'aan alizo andika Waraqah ?Hili ndio jibu langu
.... " But after a few days Waraqa died and the Divine Inspiration was also paused for a while and the Prophet (ﷺ) became so sad as we have heard that he intended several times to throw himself from the tops of high mountains... Sahih al-Bukhari 6982
nakupa maswali fikirishi wewe kama mwanafunzi wangu kwa sasa
1. kwa nini waraq alipokufa koran ikasiamama hapo hapo kuandikwa?
2. kwa nini muhammad alivyoona koran haiandikwi akataka kujitoa uhai?
Kwanini unakimbia maswali yangu ?Huyo Allah unaweza kuthibitisha yupo kweli na si hadithi za watu tu?
Nimekupa kazi ukosoe nilicho kiandika umeshindwa mpaka muda huu.Au unaambiwa kuthibitisha uongo mmoja si uongo, unaleta uongo wa pili ambao nao huwezi kuuthibitisha, ili uthibitishe uongo wa kwanza ambao hujauthibitisha?
Labda uniambie sasa hivi kwamba unataka nithibitishe mara ngapi ?Nimekwambia uthibitishe uchawi upo kweli na si hadithi za watu tu.
Hili nimeshalithibitisha zaidi ya mara kumi humu ndani na hakuna hata mmoja aliye wahi kuthibitisha kutokuwepo kwake.Unalwta habari za Allah ambaye na yeye kuwepo kwake hujathibitisha.
Haya unataka nithibitishe mara ngapi ?Thibitisha uchawi upo kweli na kwamba habari za kuwepi uchawi si hadithi za watu tu.
Halafu, thibitisha Allah yupo kweli na kwamba habari za kuwepo kwakr si hadithi za watu tu.
Hujathibitisha uchawi upo, katika kuthibitisha uchawi upo, umejipa kazi nyingine ya kuthibitisha Allah yupo.Kwanini unakimbia maswali yangu ?
Nimekupa kazi ukosoe nilicho kiandika umeshindwa mpaka muda huu.
Kipi nilicho shindwa kuthibitisha ?
Labda uniambie sasa hivi kwamba unataka nithibitishe mara ngapi ?
Na wewe ulishindwa kuthibitisha kutokuwepo kwa uchawi na hili huwezi mpaka unakufa.
Hili nimeshalithibitisha zaidi ya mara kumi humu ndani na hakuna hata mmoja aliye wahi kuthibitisha kutokuwepo kwake.
Haya unataka nithibitishe mara ngapi ?
Labda nikuulize swali dogo sana kitu ili kiwepo kinatakiwa kikidhi sifa gani ?
Naona nakupiga nondo mpaka unachanganyikiwa , issue ya kaburi nilishakuwekea Aya inasema Allah na Muhammad huwa wanakubaliana jambo lao kabla ya kufanyika , inamaana kufukua kaburi ata kama ni Allah alifanya walishirikiana kukubaliana afukuliwe hilo limeshaisha , ILI la warak nimekujibu kwa maswali ukiweza yajibu ndio jibu lakoAcha kujichetua kijana kwahiyo hapo ndiyo kuna kufukiliwa kaburi na ndiyo kuna aya za Qur'aan alizo andika Waraqah ?
Bado hujajibu maswali yangu.
Sasa kama Muhammad kasema anaamini kitabu na Mungu wa kitabu icho , wewe unauliza nini tena ? Nimekukanya Sana acha kumpinga Muhammad na Allah , la sivyo tangaza rasmi haupo uko ijulikane[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mimi sijaona jibu ya maswali nilouliza ww ndo ulivo ukiulizwa maswali unajipitisha huku na huku embu nioneshe ilo jibu lko [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
UKRISTO SIO DINI
Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?Hujathibitisha uchawi upo, katika kuthibitisha uchawi upo, umejipa kazi nyingine ya kuthibitisha Allah yupo.
Mpaka sasa hujathibitisha uchawi upo wala Allah yupo.
Kijana hiyo aya nilikuweka wazi kwamba inawahusu waumini nikakuuliza huyo Mkristo ni Muumini (Muislamu) ?Naona nakupiga nondo mpaka unachanganyikiwa , issue ya kaburi nilishakuwekea Aya inasema Allah na Muhammad huwa wanakubaliana jambo lao kabla ya kufanyika , inamaana kufukua kaburi ata kama ni Allah alifanya walishirikiana kukubaliana afukuliwe hilo limeshaisha , ILI la warak nimekujibu kwa maswali ukiweza yajibu ndio jibu lako
Kijana huna hoja ww m nikiwaambia ukristo sio dini mnabisha nn sasa wkt maswali madogo tu ayo umeshindwa kuyajibuSasa kama Muhammad kasema anaamini kitabu na Mungu wa kitabu icho , wewe unauliza nini tena ? Nimekukanya Sana acha kumpinga Muhammad na Allah , la sivyo tangaza rasmi haupo uko ijulikane
Kwa sababu kabla ya kufikia maswali yako unazusha maswali yangu unayotakiwa kujibu.Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?