Unajiuliza Mungu anatakiwa apende watu wanaojiepusha na dhambi , lakini Allah anasema usipo fanya dhambi anakuua
Na Allah anasema tena yeye ndio anapotosha watu na anawafanya mioyo Yao mizito
Sasa shetani anafanya kazi gani?
Nilitaka uishie hapa, lakini nimeona endelea kuwafundisha jinsi dini yao ilivyo.
Waislamu wengi wanakuelewa sasa na wanajifunza mengi kupitia mafundisho yako.
Hii ni kazi ya Kichungaji kabisa na nina uhakika wengi watakimbilia Njia salama ya Masihi Yesu Kristo
Kama anavyo sema yeye.
Mathayo 11:28
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Ni Yesu pekee aliye simama hadharani na kutamka hayo maneno na hakuna aliyebisha hadi leo hii leo.
Yohana 14:1
Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
Yohana 14:2
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
Yohana 14:3
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
Yohana 14:4
Nami niendako mwaijua njia.
Ni ajabu Mtu mwingine anakuja na kusema.
Yeye hajui atafanywa nini wala waumini wake, na bado anafuatwa na kundi la watu.
Ni ajabu sana.
Ref.
"Mimi sio Kiroja kipya katika mitume. Sijui nitakachafanywa mimi wala ninyi"
Sasa mtu asiyejua chochote anafuatwa wa nini tena.