Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Sources nyingine alizotumia ni zipi?Hapana. Kuna sources nyingi alizotumia mbali na Quran.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sources nyingine alizotumia ni zipi?Hapana. Kuna sources nyingi alizotumia mbali na Quran.
Hili nimeshaliweka huko nyuma,soma ninacho kiandika vizuri.Nitajie hizo sheria zipi za kislamu zilizokuwepo kipindi cha Adam
Kulikuwa na miungu wengi hapo saudi kabla ya uislam. Infact al-Lah alikuwa ni Mungu ambaye wakureshi wengi walikuwa wakimuabudu na pia wao walichukulia eneo hilo kuwa ni takatifu. Kimsing waarabu waliichukulia kaaba ni takatifu miaka mingi.Hapo kwenye red, umeandika kuwa Kaaba ni eneo lililokuwa takatifu miaka mingi hata kabla ya Uislamu kuanza.
Naomba kujuzwa, utakatifu wa eneo hilo ulitokana na IMANI ipi?
Sheria anapanga binadamu au inapangwa na Mungu? Nimesoma ulichoandika lakini haniingii akili kuwa kuozesha ndugu kwa ndugu ilikuwa ni mojawapo ya sheria. Kama ilikuwa ni sheria basi isingetenguka ingedumu hiyo sheria mpaka hivi leo.Hili nimeshaliweka huko nyuma,soma ninacho kiandika vizuri.
Wao (Wakureshi) walichukulia eneo hilo kuwa ni takatifu.Kulikuwa na miungu wengi hapo saudi kabla ya uislam. Infact al-Lah alikuwa ni Mungu ambaye wakureshi wengi walikuwa wakimuabudu na pia wao walichukulia eneo hilo kuwa ni takatifu. Kimsing waarabu waliichukulia kaaba ni takatifu miaka mingi.
Kuna maelezo ya Encyclopedia hayo hapo chini pia. View attachment 1813350
Hayo maneno hayapo katika Tafsiri ya asili,wewe niambie umeyatoa wapi.
Soma hiki kitabu,usilete ubabaishaji humu.View attachment 1813338
Anapanga Mola mwenyewe.Sheria anapanga binadamu au inapangwa na Mungu?
Kutokuingia akilini mwako si hoja, hoja ni je hilo ni kweli ?Nimesoma ulichoandika lakini haniingii akili kuwa kuozesha ndugu kwa ndugu ilikuwa ni mojawapo ya sheria.
Unatumia kigezo gani kuandika haya na marejeo yako ni yapi ?Kama ilikuwa ni sheria basi isingetenguka ingedumu hiyo sheria mpaka hivi leo.
Mjuzi wa yote anafanya anachokitaka,ndiyo maana wewe umekuwa muafrika na si mzungu wala si muarabu.Na Kama mtunga sheria ni Mungu na anatunga sheria na kuitengua yeye basi hana msimamo hivyo sio mjuzi bali ana bahatisha
Umeelewa swali langu ? Hayo uliyo yaweka katika kitabu cha asili hayapo. Na aya haifasiriwi hivyo. Sasa kama hayo hayapo vipi au kwa lipi unayanabisha kwa Imaamu hawa wawili Jalaludin al Mahal na mwanafunzi wake Jalaludin Suyuti wenye tafsiri Jalalayni au umeona google huko ukatuletea huu ujinga ?Unajua kuna mda naona akili Yako infyatuka , Yani nimekuwekea link alafu unauliza yametoka wapi, ilikuthibisha ilitakiwa wewe uweke unayoona wewe ndio SAWA na usema kwa nini link ya waislamu inaweka ambayo si sawa
Naomba nirahisishe kwa kuweka excerpt hii.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Wao (Wakureshi) walichukulia eneo hilo kuwa ni takatifu.
Hapo sawa, umesomeka vizuri mkuu.
Inasadikika kuwa hiyo "nyumba" ilikuwa safi tangu mwanzo, kisha pale kati ikachafuliwa, baadaye ikawa safi tena.
Je ni lini hiyo "nyumba" ilipochafuliwa?. Ni kwanini sehemu "takatifu" iliachwa na kuchafuliwa?
Hao Wakureshi ni nini hasa walichokuwa wakifanya katika hiyo "nyumba"?
Kijana naona umeona nimeshakuumbua anaanza kutajataja majinaUmeelewa swali langu ? Hayo uliyo yaweka katika kitabu cha asili hayapo. Na aya haifasiriwi hivyo. Sasa kama hayo hayapo vipi au kwa lipi unayanabisha kwa Imaamu hawa wawili Jalaludin al Mahal na mwanafunzi wake Jalaludin Suyuti wenye tafsiri Jalalayni au umeona google huko ukatuletea huu ujinga ?
Nataka uniambie haya uliyahakiki wapi mpaka unatueletea humu ?
Kama jambo linalofaa liweje lisifae milele?Ilikuwa sheria na ni jambo lililo faa. Sheria huwekwa sababu na hekima
Unajua source nimeweka ni source inayoaminika duniani na nime prove kwamba Allah alisema akitaka mke au mtoto atachukua kutoka USUmeelewa swali langu ? Hayo uliyo yaweka katika kitabu cha asili hayapo. Na aya haifasiriwi hivyo. Sasa kama hayo hayapo vipi au kwa lipi unayanabisha kwa Imaamu hawa wawili Jalaludin al Mahal na mwanafunzi wake Jalaludin Suyuti wenye tafsiri Jalalayni au umeona google huko ukatuletea huu ujinga ?
Nataka uniambie haya uliyahakiki wapi mpaka unatueletea humu ?
Nazidi kufurahi,laiti tu kwanza ungekuwa unajua Kiarabu hiyo tarjama uliyoiweka ungeona kabisa kuna maneno yameongezwa hayapo katika matini ya aya,ndiyo maana yakawekwa kwenye mabano kama ziada. Swali langu liko pale pale,hayo maneno hayapo katika natini ua asili ya Kiarabu wewe umetumia kigezo gani kuyafanya kama ni hoja ?Kijana naona umeona nimeshakuumbua anaanza kutajataja majina
Link hii hapa click link itakupeleka kwa waislamu wenzako wajuzi kuliko wewe ndio wameweka ,
![]()
Just click the link na uache kurukaruka
Stupidity is amazing
Link yako ina kitu hiki :Kijana naona umeona nimeshakuumbua anaanza kutajataja majina
Link hii hapa click link itakupeleka kwa waislamu wenzako wajuzi kuliko wewe ndio wameweka ,
![]()
Just click the link na uache kurukaruka
Stupidity is amazing
Sababu kuwepo kwake kulitokana na haja na sababu maalumu,ilipo ondoka sababu hiyo ikawa sheria hiyo haifanyi kazi.Kama jambo linalofaa liweje lisifae milele?
Acha upuuzi kijana huwezi sema institute nzima walioweka hiyo tafsiri kwa lugha ya kingereza ni wajinga alafu wewe ndio mjuzi waoNazidi kufurahi,laiti tu kwanza ungekuwa unajua Kiarabu hiyo tarjama uliyoiweka ungeona kabisa kuna maneno yameongezwa hayapo katika matini ya aya,ndiyo maana yakawekwa kwenye mabano kama ziada. Swali langu liko pale pale,hayo maneno hayapo katika natini ua asili ya Kiarabu wewe umetumia kigezo gani kuyafanya kama ni hoja ?
Hapa utaona kati yangu mmi na wewe nani mvivu wa kusoma. Ulivyokuwa mjinga huna muda na kujishughulisha na vitabu vya asili unaokoteza mtandaoni kisha unatuwekea humu.
Nimekurudisha ukasome na huu ujinga ukome,mnawazulia uongo wanazuoni wetu.
Hiyo link niiguse mara ngapi ? Unafikiri link ina nafasi gani mbele ya matini ya asili ya kitabu ? Umepewa akili bure itumie.